Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Lakini anapenda rushwa?Hapendi wahalifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini anapenda rushwa?Hapendi wahalifu
Ulimpa?Lakini anapenda rushwa?
HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA
Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine Mafwele .
Kiongozi huyu wa jeshi la polisi amekuwa akilalamikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kukandamiza haki za raia kwa mfano kuwatia ndani baadhi ya watu ambao ana ugomvi nao bila sababu za msingi.
Mafwele amekuwa akilalamikiwa kwamba anazuia watuhumiwa wasipewe dhamana kwa jeuri yake hata kama dhamana ni haki ya mshtakiwa.
Analalamikiwa kwa tuhuma za rushwa ambazo amekuwa akiomba kwa baadhi ya watuhumiwa na pindi wanapokataa kumpa huwabambikia kesi mbalimbali.
Baadhi ya askari wanamtaja Mafwele kama kiongozi katili, jeuri mwenye majidai ambaye amejijengea mtandao wa askari wake ambao humpelekea kitu kidogo ofisini kwake ili awalinde pindi wanapokiuka sheria za jeshi la polisi.
Kuna taarifa kwamba hata RPC wa mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas anamwogopa Mafwele kwa kuwa ni mtu ambaye amejenga mtandao mpana katika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar na katika kuthibitisha hilo majuzi yalipofanywa mabadiliko ndani ya jeshi hilo nchi nzima Mafwele hakuguswa; mnajua kwanini? Swali hilo IGP Mangu atalijibu hapa.
Kama mnakumbuka mwaka juzi Mafwele alipigwa risasi ya bega la kulia na majambazi na tetesi zinasema kuwa aliwazunguka katika mgao wa fedha walizopora katika hoteli ya Kibo Palace ambayo ni mali ya tajiri Laswai.
Mafwele amejenga nyumba ya kifahari mkoani Mwanza wilayani Ilemela na nje ya nyumba hiyo eneo la parking kuna magari zaidi ya matano ya kifahari yamepaki nje hayatumiki huyu kigogo ana pesa kiasi gani?
Amedumu mkoani Arusha kwa muda wa zaidi ya miaka mitano bila kuhamishwa na kila uhamisho ukifika yeye haguswi je kuna nini hapa ndugu wadau embu tuulizane au ndiyo mtindo wa kulindana?
Kuna baadhi ya mahabusu hadi sasa wanasota jela la Kisongo na inasemekana baadhi yao amewabambikia kesi baada ya kushindwa kumpa rushwa ya kati ya sh, 4 hadi 5 milioni, na ukifika ofisini kwake kuna mafaili kibao ya watuhumiwa ambayo, ili kuyafuta anataka pesa.
Tunamwomba IGP Mangu amchunguze huyu kigogo wa jeshi la polisi Arusha kwani malalamiko yamekuwa mengi. Lakini naomba tujadili huyu Mafwele ni nani na alitokea wapi hadi kuukwaa u OC CID?
Wenye data zimwageni hapa.
Source: Mdau wa habari Arusha.
Huyu kibaka kumbe malalamiko dhidi yake yameanza zamani sana na vyeo anapandishwa tu. Jeshi la polisi wajikague sana wanalea watu waovu sana.HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA

Jambo Afande.....Suala maeendeleo nila mtu na MTU, pesa ile ile tatzo matumizi.
Kumbe kunawatu wanafurahia kuwaona watu wakiwa maskin.
Jini limepasua chupa 🤣🤣🤣Kumbe majini yalikuwa yanatuzwa kwenye chupa. Tunashangaa nini sasa? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 . Majini ya senema za kinaigeria
Sasa linataka Damu Popote Walipo WananchiJini limepasua chupa 🤣🤣🤣
Kiongozi huyu wa jeshi la polisi amekuwa akilalamikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kukandamiza haki za raia kwa mfano kuwatia ndani baadhi ya watu ambao ana ugomvi nao bila sababu za msingi.HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA
Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine Mafwele .
Kiongozi huyu wa jeshi la polisi amekuwa akilalamikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kukandamiza haki za raia kwa mfano kuwatia ndani baadhi ya watu ambao ana ugomvi nao bila sababu za msingi.
Mafwele amekuwa akilalamikiwa kwamba anazuia watuhumiwa wasipewe dhamana kwa jeuri yake hata kama dhamana ni haki ya mshtakiwa.
Analalamikiwa kwa tuhuma za rushwa ambazo amekuwa akiomba kwa baadhi ya watuhumiwa na pindi wanapokataa kumpa huwabambikia kesi mbalimbali.
Baadhi ya askari wanamtaja Mafwele kama kiongozi katili, jeuri mwenye majidai ambaye amejijengea mtandao wa askari wake ambao humpelekea kitu kidogo ofisini kwake ili awalinde pindi wanapokiuka sheria za jeshi la polisi.
Kuna taarifa kwamba hata RPC wa mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas anamwogopa Mafwele kwa kuwa ni mtu ambaye amejenga mtandao mpana katika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar na katika kuthibitisha hilo majuzi yalipofanywa mabadiliko ndani ya jeshi hilo nchi nzima Mafwele hakuguswa; mnajua kwanini? Swali hilo IGP Mangu atalijibu hapa.
Kama mnakumbuka mwaka juzi Mafwele alipigwa risasi ya bega la kulia na majambazi na tetesi zinasema kuwa aliwazunguka katika mgao wa fedha walizopora katika hoteli ya Kibo Palace ambayo ni mali ya tajiri Laswai.
Mafwele amejenga nyumba ya kifahari mkoani Mwanza wilayani Ilemela na nje ya nyumba hiyo eneo la parking kuna magari zaidi ya matano ya kifahari yamepaki nje hayatumiki huyu kigogo ana pesa kiasi gani?
Amedumu mkoani Arusha kwa muda wa zaidi ya miaka mitano bila kuhamishwa na kila uhamisho ukifika yeye haguswi je kuna nini hapa ndugu wadau embu tuulizane au ndiyo mtindo wa kulindana?
Kuna baadhi ya mahabusu hadi sasa wanasota jela la Kisongo na inasemekana baadhi yao amewabambikia kesi baada ya kushindwa kumpa rushwa ya kati ya sh, 4 hadi 5 milioni, na ukifika ofisini kwake kuna mafaili kibao ya watuhumiwa ambayo, ili kuyafuta anataka pesa.
Tunamwomba IGP Mangu amchunguze huyu kigogo wa jeshi la polisi Arusha kwani malalamiko yamekuwa mengi. Lakini naomba tujadili huyu Mafwele ni nani na alitokea wapi hadi kuukwaa u OC CID?
Wenye data zimwageni hapa.
Source: Mdau wa habari Arusha.
Mafwele kumbe kaanza ukatili zamani sana!! Na wakubwa hawakusitukaHIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA

Njoo tena useme ni majungumleta mada ninazidi kuwa na wasiwasi na wewe maana ukileta mada zinakuwa ni za majungu na uzandiki
mfano: last year ulileta thread kuhusu wale wadada mapacha watumishi wa tra, kumbe ni uzandiki tu huna hoja umejaa majungu
Yaani huyu tangu ajiunge JF alicomment hapa tu?Suala maeendeleo nila mtu na MTU, pesa ile ile tatzo matumizi.
Kumbe kunawatu wanafurahia kuwaona watu wakiwa maskin.
Alikuambia hapendi wahalifu?Ulimpa?
Pengine hiyo ya pili ndio sahihi, tukianza na huo ukwasi alionao ni nadra sn kwa polisi mwenye maadili ya kazi yake kuwa na ukwasi huo alionao kama ni kweli anamiliki huo ukwasi.Hapo kuna mawili! Ukute yeye Ndio kiboko ya mitandao ya majambazi ya Arusha ; Sasa wanatengeneza fitna atolewe jeshi lipoteze dira na majambazi kujipanga na kuanza kusumbua!! Au hizo tuhuma ni za kweli!!
Kuna vice mmoja pale st.thomas more college kwa Sasa IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL miaka ya 90'sHuyu jamaa ni huyo huyo ninayemfahamu alisoma Geita Sec. Miaka ya 80' katikati? Mafwele ni Mkara, alikuwa katibu wa shule na alikuwa katili sana kiasi vijana wa kidato cha kwanza tulikuwa tunamwogopa utafikri naye ni headmaster! Kama ndo yeye basi kumbe watu huwa hatubadiliki!