Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninafsi sina detailed theoretical wala practical experince kwenye oracle kaka. subiri wataalamu.Thanks mtazamaji
Ningependa kufanya 1Z0-051 na 1Z0-052, sasa namalizia kusoma 1Z0-051 and
Oracle® DatabaseSQL Language Reference11g Release 2 (11.2)
, lakini nahitaji mawazo zaidi na mbinu nyingine hasa kwa watu wenye experience kama wewe.
Naomba msaada wako wa tricks za kushinda hii mitihani.
Thanks again.