GE2025 OCD Nyamagana awataka wananchi kulinda amani kipindi cha uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Nyamagana Mrakibu Mwandamizi(OCD), SSP Virginia Sodoka, amewataka wananchi wa wilaya ya Nyamagana kuendelea kulinda amani na usalama kwa kushiriki katika shughuli nzima za ulinzi wa amani katika maeneo yao.

Wito huo umetolewa Oktoba 23.2025 katika Soko kuu la Mwanza,SSP-Sodoka, amewaeleza wananchi kuwa usalama unaanza na wewe mwenyewe kwenye biashara yako, nyumbani kwako hivyo sote tushiriki ulinzi na usalama ili kuweka Mkoa salama.
 
Na wao watafanya kazi gani sasa????
Wananchi wakilinda amani
 
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Nyamagana Mrakibu Mwandamizi(OCD), SSP Virginia Sodoka, amewataka wananchi wa wilaya ya Nyamagana kuendelea kulinda amani na usalama kwa kushiriki katika shughuli nzima za ulinzi wa amani katika maeneo yao.

Wito huo umetolewa Oktoba 23.2025 katika Soko kuu la Mwanza,SSP-Sodoka, amewaeleza wananchi kuwa usalama unaanza na wewe mwenyewe kwenye biashara yako, nyumbani kwako hivyo sote tushiriki ulinzi na usalama ili kuweka Mkoa salama.

G3yddfFXMAAfm8w.jpeg
 
Back
Top Bottom