Ocean road hospital kupima kansa

Ocean road hospital kupima kansa

Charitygal

New Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Jaman wazima nyote me mgeni kbs humu ila naamini ntapata msaada.
mama yangu mdogo anasumbuliwa na uvimbe jwa mda sasa ameshauriwa na hospital ya rufaa aende akapime kansa
sasa kuna mtu ambaye ni docta kamwambia kua ocen road wanapima kansa bure ila ukikutwa na tatiza ndo unalipia matibabu naye anajiandaa kwenda huko jumatatu sasa me naomba kuhakikisha mana najua humu kuna wadau weng je ni kweli kwamba ni bure vipimo huko ocean road. msaada pls jaman mana hali ya kiuchumi si nzuri so asije akaenda then ikawa ndivyo sivyo mana hatujajipanga san tukijua vipimo ni buree
 
poleni,hiki kitu mi pia nlishawah ambiwa na mtu tuu lakin sio docta ila nilikua namuulizia kuhusu kupima breast cancer akanambia ni bure matibabu ndo unagharamia ila sikupata uhakika. ngoja waje wanaojua watakujibu gal.
 
Hebu jaribu kupiga simu moja kwa moja

Our contact details are:
Ocean Road Cancer Institute
P. O. Box 3592,
Junction of Lithuli/Ocean Road
Dar es Salaam - TANZANIA
Telephone: +255 - 22- 2127597
Fax: +255 - 22- 2118704
E-mail: info@orci.or.tz This e-mail address is being protected from spambots, you need JavaScript enabled to view it
URL: Ocean Road Cancer Institute
 
Jaman wazima nyote me mgeni kbs humu ila naamini ntapata msaada.
mama yangu mdogo anasumbuliwa na uvimbe jwa mda sasa ameshauriwa na hospital ya rufaa aende akapime kansa
sasa kuna mtu ambaye ni docta kamwambia kua ocen road wanapima kansa bure ila ukikutwa na tatiza ndo unalipia matibabu naye anajiandaa kwenda huko jumatatu sasa me naomba kuhakikisha mana najua humu kuna wadau weng je ni kweli kwamba ni bure vipimo huko ocean road. msaada pls jaman mana hali ya kiuchumi si nzuri so asije akaenda then ikawa ndivyo sivyo mana hatujajipanga san tukijua vipimo ni buree

yaa ni bute
 
Back
Top Bottom