Charitygal
New Member
- Nov 28, 2013
- 2
- 0
Jaman wazima nyote me mgeni kbs humu ila naamini ntapata msaada.
mama yangu mdogo anasumbuliwa na uvimbe jwa mda sasa ameshauriwa na hospital ya rufaa aende akapime kansa
sasa kuna mtu ambaye ni docta kamwambia kua ocen road wanapima kansa bure ila ukikutwa na tatiza ndo unalipia matibabu naye anajiandaa kwenda huko jumatatu sasa me naomba kuhakikisha mana najua humu kuna wadau weng je ni kweli kwamba ni bure vipimo huko ocean road. msaada pls jaman mana hali ya kiuchumi si nzuri so asije akaenda then ikawa ndivyo sivyo mana hatujajipanga san tukijua vipimo ni buree