OCS Malindi Kushukiwa Huvaa Buibui Akipiga Doria Usiku

OCS Malindi Kushukiwa Huvaa Buibui Akipiga Doria Usiku

Waziri Mayai Wa Maradhi

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
409
Reaction score
98
Kumekuwa na fununu kutoka kwa baadhi ya wanabodaboda Malindi wanaodai kuwa mara kadhaa wamekuwa wakishuku baada yakua Kuna wanawake usiku huvaa buibui na hawakai wanawake na wamekua walismama maeneo yanayopendwa na wahuni wengi wakishuku ni polisi wako doria ,OCS wa Malindi akiri kua ni yeye kwahio wanabodaboda watoe shaka .

Hii ni Baada ya baadhi ya waliomshuhudia walisisitiza kuwa walikuwa na uhakika kuwa ni OCS, jambo ambalo baadaye OCS mwenyewe alithibitisha kuwa kweli alikuwa yeye.

Hii inajiri wakati wahalifu wamezidi kumezwa na kila mbinu ya kuwabaini na kuwafikia, hasa katika kudhibiti matukio ya uvamizi na uhalifu dhidi ya wanawake.

Inaonekana kuwa matumizi ya mbinu kama hizi yanaweza kuwa sehemu ya juhudi za kuwafikia wahalifu kwa urahisi zaidi bila wao kutambua uwepo wa askari.
 
Back
Top Bottom