Octavia Star wa "The 100" akamatwa na polisi kwa kumpa kichapo boyfriend wake

Sky crew.... alikuwa anafanya mazoezi, bila shaka alimkumbuka Linkolin ...... i like The 100!
 
Ha ha ha Raven Reyes au jina lake halisi ni Lindsey Marie Morgan ni binti mzuri sana na ameigiza kama mechanic mwenye akili sana. Hata mimi namkubali sana kuliko hata Clarke Griffin. Mkuu umefikia season gani?
View attachment 837027
Raven Reyes

Huyu alimpenda saana yule mshkaji wake aliyeuliwa.

Clarke kasagaji... Sikujua kama unaweza kumpenda character kiasi nachompenda huyu Raven
 
Yaah! Raven alikuwa anampenda sana Finn Collins, lakini Finn alitokea kumpendana zaidi na Clarke. Hata hivyo sasa hivi Raven anaonekana kuanza kumpenda Miles Shaw ambaye ni Pilot kwenye Season 5
 
Imeshafika Episode 13 sijui kama itaendelea nahisi ndo mwisho wa THE 100
 
angalia IMDB utaona inaendelea 2019 Season 6 bado haijafika mwisho
by the way nasubili september goma langu THE LAST SHIP
the last ship ilianza pamoja na the 100 zikipishana miezi tu
 
Octavia gaidi sana [emoji23] [emoji23] me nampenda raven
yeah raven yuko poa hata me ananivutia but katika mamen napenda sana vituko na mikasa ya John murph namfananisha na Sawyer katika seriez ya LOST hata akiwa katika hatari wameksmatwa na adui wana masihala sana ya kijinga
halafu Raven ashawai kumpa chezo bellamy ilikuwa season 4
 
Mmmmh apo mbona mi sijapaona pa kumpashow ebu nikumbushe . Nachojua Bellamy anampenda sana Clark ila ndo hivyo tena
 
Sio kwamba mwanadafada alimzidi ubabe mtu wake bali alikuwa kanywa dozi mpya ya dawa akachanganya na mvinyo wakati wa chakula cha mchana.
Hiyo ilipelekea kupata tatizo kama vile kapagawa kichaa.
Jamaa akaona badala ya kupambana nae bora awaite polisi waje wamtulize. ni vile aliwasihi sana wasimchukue kumpeleka selo.
 
yeah raven yuko poa hata me ananivutia but katika mamen napenda sana vituko na mikasa ya John murph namfananisha na Sawyer katika seriez ya LOST hata akiwa katika hatari wameksmatwa na adui wana masihala sana ya kijinga
halafu Raven ashawai kumpa chezo bellamy ilikuwa season 4
Sawa kabisa mkuu, Murphy yuko kama Sawyer wa "LOST" au kama T Bag wa Prison Break. Series ya Lost ilikuwa nzuri sana mwanzoni lakini mwishoni haikuwa nzuri.
 
Back
Top Bottom