BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Revolution
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasanii wabongo wengi, wana sauti mbaya live, namkubali Platnumz ameleta revolution kubwa sana bongo flava lakini kwenye kuimba live ni full aibu. Ngoja tusubiri tuone kama vocals zao zimebadilika kimiujiza.
Jamaa kaimba miaka mingi natumai atakua kajifua kwenye sauti natural kama alivojifua kwenye dance, hawa wenzake wa juzijuzi mhh!
mkuu we unazungumzia tuzo zinazopigiwa kishabiki bongo team hiziMwaka 2015 alipata tuzo nyingi sana kwenye kipengere cha MTUMBUIZAJI BORA AFRICA na hii tuzo wanaangalia vitu vingi na kimojawapo ni jinsi unavyolimudu jukwaa na kulimudu jukwaa ni pamoja na puumzi, sio upo jukwaani umesimama kama mlingoti huwezi kushinda hizo tuzo.
Hizo tuzo za kimataifa maamuzi ya mwisho ni za majaji,kura zitaongezea nguvu kama majaji wanavutana tu. Achana na hizi tuzo EATV,KTMA ua zile za kuishia kenya.mkuu we unazungumzia tuzo zinazopigiwa kishabiki bongo team hizi
Watu tunazungumzia mwanamuziki anayetambulika na Africa kama sio Duniani kwa ujumla wewe unaleta stori za hisia, Hapa hatuongei hisia tunaongea ukweli uliopo. Ubora wa msanii unaenda sambamba na thamani yake. Kama kuimba hata Bi Kidude alikuwa anaimba na kwasasa hata Man Fongo anaimba,ila tunawatofautisha kwa THAMANI ZAO.Usitake kupima pumzi ya Diamond na Christian Bella kwa namna yoyote halafu uje useme kirahisi tu kwamba itakuwa show ambayo haijawahi kuonekana ukanda as Africa mashariki
Umenena mkuu mpaka atoweke ndo tutaona umuhimu wake jamani tubadilike basiHIVI Diamond kawakosea nn watanzania kias cha kuonekana si lolote kwa baadhi ya watu.......
nakumbuka enz za marehemu kanumba alipgwa vita hivi hvi alipofarik tumeona bongo movie ilipoishia...
tujifunze kukubali vya kwetu kwa maana hakuna alie mtimilifu.
Mkuu usishtuke mnyakyusa huyo ndo wanavyozungumza hivyogusauti gwake
gusauti gwake...nimeipenda
Masikini pole, chukua mfuko utapike.....Ivi ukiandika tu naseeb abduli isnt enough? Elimu ni muhimu sana hii nchi
Hujapataga tu vidonda vya tumbo, make unaemchukia kila siku anazidi kuwa juu zaidi ya jana.....tupe siri asee au unakunywa maji ya aloveraSasa kupiga show za mchangan escape1 ndiyo revolution kwi kwi kwi kwi kwi kwi maana hata juzi snura na sepetu kajaza escape1 kwny usiku wa vigoma.