nonsense 🐒Siasa zilivyo na kwa jinsi mambo yalivyo hadi sasa..baada ya huu utawala kumaliza kipindi chake, tukubali tukatae hii siku lazma itaingizwa kwenye siku za maombolezo makubwa sana nchi nzima! (JUMATANO NYEUSI).
Iwe ni CCM au upinzani watakaokuwa madarakani..mliopo madarakani sasa mtatumika kama kielelezo cha mauaji na ukatili wa KINYAMA kuwahi kutokea Afrika mashariki.
Hii ni kubwa sana, hauwezi funika kombe mwanaharam apite kwa kuua ndugu zako kwa risasi za vita kulinda maslahi ya watu waliokataa reforms ili uchaguzi uwe wa huru na haki wao wabak madarakani na maslahi yao!
Bilive me idadi halisi ya waliouwawa itapatikana, ndani ya wiki mbili bila tume wala nini watu wakihamasishwa watazungumza!
Kuua na kuteka itawapa faraja kwa muda tu na kuongeza hasira kwa watu wengi...ila muda unakuaga na majibu yote!
So as time lapses, truth comes nearer!
Huu utawala hauna nafasi ya "kumaliza kipindi chake"Siasa zilivyo na kwa jinsi mambo yalivyo hadi sasa..baada ya huu utawala kumaliza kipindi chake, tukubali tukatae hii siku lazma itaingizwa kwenye siku za maombolezo makubwa sana nchi nzima! (JUMATANO NYEUSI).
Labda..Naamini hata waliotumwa kufanya ule ukatili wanaumia!
Kuua na kuteka itawapa faraja kwa muda tu na kuongeza hasira kwa watu wengi...ila muda unakuaga na majibu yote!💪🏿Siasa zilivyo na kwa jinsi mambo yalivyo hadi sasa..baada ya huu utawala kumaliza kipindi chake, tukubali tukatae hii siku lazma itaingizwa kwenye siku za maombolezo makubwa sana nchi nzima! (JUMATANO NYEUSI).
Iwe ni CCM au upinzani watakaokuwa madarakani..mliopo madarakani sasa mtatumika kama kielelezo cha mauaji na ukatili wa KINYAMA kuwahi kutokea Afrika mashariki.
Hii ni kubwa sana, hauwezi funika kombe mwanaharam apite kwa kuua ndugu zako kwa risasi za vita kulinda maslahi ya watu waliokataa reforms ili uchaguzi uwe wa huru na haki wao wabak madarakani na maslahi yao!
Bilive me idadi halisi ya waliouwawa itapatikana, ndani ya wiki mbili bila tume wala nini watu wakihamasishwa watazungumza!
Kuua na kuteka itawapa faraja kwa muda tu na kuongeza hasira kwa watu wengi...ila muda unakuaga na majibu yote!
So as time lapses, truth comes nearer!
"Marehemu anapokata roho ukisogea karibu atakumaliza anaporusha mateke"...Huu utawala hauna nafasi ya "kumaliza kipindi chake"
Ninakubaliana na mengine yote uliyoandika kwenye mada yako, isipokuwa hayo maneno tu uliyoweka, sielewi ukiwa unalenga kitu gani hasa.
Wewe unataka uendelee na utawala haramu hadi 2030; na wakifika huko na kusema wameamua kuendelea kutawala, unalipi la kuja kwaeleza wasomaji wako hapa!
Huu ni utawala unaosubiri kuanguka wakati wowote. WaTanzania watachukua nchi yao na kuiponyesha baada ya waovu hawa kuwajibishwa.
Si uwe unajibu hoja wee papasi!nonsense 🐒
kama kitu ni nonsense maana yake hilo ndio jibu langu kua hiyo kitu ni nonsense tu gentleman, siwez poteza timeSi uwe unajibu hoja wee papasi!
HaumaliziHuu utawala hauna nafasi ya "kumaliza kipindi chake"
Ninakubaliana na mengine yote uliyoandika kwenye mada yako, isipokuwa hayo maneno tu uliyoweka, sielewi ukiwa unalenga kitu gani hasa.
Wewe unataka uendelee na utawala haramu hadi 2030; na wakifika huko na kusema wameamua kuendelea kutawala, unalipi la kuja kwaeleza wasomaji wako hapa!
Huu ni utawala unaosubiri kuanguka wakati wowote. WaTanzania watachukua nchi yao na kuiponyesha baada ya waovu hawa kuwajibishwa.
Ila ww jamaa ni wa hovyo sana how comes hoja za msingi unasema nonsense ila kusifiasifia kwako ndio intelligence 🤣🤣🤣🤣kama kitu ni nonsense maana yake hilo ndio jibu langu kua hiyo kitu ni nonsense tu gentleman, siwez poteza time
Mjinga mmoja huyo piga tofali la kichwa akifie mbele na ujinga wakeIla ww jamaa ni wa hovyo sana how comes hoja za msingi unasema nonsense ila kusifiasifia kwako ndio intelligence 🤣🤣🤣🤣