October 29 mkitaka kujua vifo na ukatili .Video za waliopata kurekodi angalia hapa.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Huu mtandao mpaka vpn na unashambuliwa hatari na wamekodiwa vijana wanachukua pesa zenu wakiwadanganya ni IT wakubwa ila wameshindwa .
Sababu server zake labda wawe na uwezo kuwa google.

Tumia vpn ndio unafunguka.Ila idadi ya vifo na majina na video hapa ndio utajua ukatili wa utawala wa CCM.
Screenshot_20260614-090210.png
 
Huu mtandao mpaka vpn na unashambuliwa hatari na wamekodiwa vijana wanachukua pesa zenu wakiwadanganya ni IT wakubwa ila wameshindwa .
Sababu server zake labda wawe na uwezo kuwa google.

Tumia vpn ndio unafunguka.Ila idadi ya vifo na majina na video hapa ndio utajua ukatili wa utawala wa CCM.
View attachment 3607382
Wengine tuko bize na football, ya oct yamepita... tufanyeni kazi

Argentina
Morocco
Spain
 
Huu mtandao mpaka vpn na unashambuliwa hatari na wamekodiwa vijana wanachukua pesa zenu wakiwadanganya ni IT wakubwa ila wameshindwa .
Sababu server zake labda wawe na uwezo kuwa google.

Tumia vpn ndio unafunguka.Ila idadi ya vifo na majina na video hapa ndio utajua ukatili wa utawala wa CCM.
View attachment 3607382
MODERATOR ,#FUTA HII TAKATAKA,HATUTAKI KUYAKUMBUKA MAUMIVU TULIYOYAPATA SISI SOTE,TAFADHAL FUTA HII, 🧵
 
Huna lolote, ni bora upige kimya, kuliko kuongea utumbo mkuu, mauaji ya hivi huwezi ita takataka..
Hata km unafaidika na CCM, utu usikutoke namna hii..
Mie hata mauaji ya rwanda siwezi sema takataka, unapata wapi nguvu ya kuita takataka?
 
Mimi binafsi naumizwa na picha za damu au video za damu💔
Siwezi kuangalia
 
Back
Top Bottom