Hasira!Sasa ulitakaje lakini
USSR
Wengine tuko bize na football, ya oct yamepita... tufanyeni kaziHuu mtandao mpaka vpn na unashambuliwa hatari na wamekodiwa vijana wanachukua pesa zenu wakiwadanganya ni IT wakubwa ila wameshindwa .
Sababu server zake labda wawe na uwezo kuwa google.
Tumia vpn ndio unafunguka.Ila idadi ya vifo na majina na video hapa ndio utajua ukatili wa utawala wa CCM.
View attachment 3607382
MODERATOR ,#FUTA HII TAKATAKA,HATUTAKI KUYAKUMBUKA MAUMIVU TULIYOYAPATA SISI SOTE,TAFADHAL FUTA HII, 🧵Huu mtandao mpaka vpn na unashambuliwa hatari na wamekodiwa vijana wanachukua pesa zenu wakiwadanganya ni IT wakubwa ila wameshindwa .
Sababu server zake labda wawe na uwezo kuwa google.
Tumia vpn ndio unafunguka.Ila idadi ya vifo na majina na video hapa ndio utajua ukatili wa utawala wa CCM.
View attachment 3607382
Huna lolote, ni bora upige kimya, kuliko kuongea utumbo mkuu, mauaji ya hivi huwezi ita takataka..MODERATOR ,#FUTA HII TAKATAKA,HATUTAKI KUYAKUMBUKA MAUMIVU TULIYOYAPATA SISI SOTE,TAFADHAL FUTA HII, 🧵
Afute sababu ulishiriki kuua?MODERATOR ,#FUTA HII TAKATAKA,HATUTAKI KUYAKUMBUKA MAUMIVU TULIYOYAPATA SISI SOTE,TAFADHAL FUTA HII, 🧵
Mmejawa na hofu nyingiSasa ulitakaje lakini
USSR
Namchukia sana Samia na watu wake. Nikimuona natamani afe pale alipoNikikumbuka yaliyotukia Oktoba 29 na 30 mwaka jana ndio chuki yangu dhidi ya serikali hii dhalimu inapoongezeka