Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
CCM kwa sasa uwelekeo wenu baada kukipa chama jeshi la polisi na jeshi la nchi.
Ila na wakumbusha rwanda mpaka ilipofikia 94 ndio ikatazamwa dunia nzima.
Sio hapo ila CCM bado mjajifunza naijeria,libya,sudani,somaria,yogosilavia,Korea kutengana,vitenam na nchi ambazo mwisho wa siku ni ukweli ambao uchungu kuna nchi mnayo kumbatia inaweza kuvamia nchi kuwa ni sehemu ya nchi yao.
Haya sio utani washafika urusi sio kwa ajili ya kuangalia vikwazo.