FutuhiCCM nikama madem flani hivii mbele ya watu fulani .
Kuna Bibi mmoja wakizungu aliwahi kunipa njia fupi ya kumalizana na CCM kwa mtindo wa kukata mizizi yake yote tena chini ya masaa 24 hadi wakakimbiana nikajikuta natetemeka moyo kabisa ,nikasema hii mbinu wakiijua Chadema jua game over.
Kwa ujumla CCM ipo shimoni na hilo hata wenyewe wanalijua na wanaomba sana Mungu tusiwastukie.
Tupe madini kiongozi tumalizane nao Hawa matapeli.CCM nikama madem flani hivii mbele ya watu fulani .
Kuna Bibi mmoja wakizungu aliwahi kunipa njia fupi ya kumalizana na CCM kwa mtindo wa kukata mizizi yake yote tena chini ya masaa 24 hadi wakakimbiana nikajikuta natetemeka moyo kabisa ,nikasema hii mbinu wakiijua Chadema jua game over.
Kwa ujumla CCM ipo shimoni na hilo hata wenyewe wanalijua na wanaomba sana Mungu tusiwastukie.
Weka mbinu mkuu taifa liponeCCM nikama madem flani hivii mbele ya watu fulani .