johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uzee ni miaka 80 πΌTunataka damu mpya hawa wazee wapumzike
Nchi inatakiwa iende kisasaUzee ni miaka 80 πΌ
Kibamba anagombea Msanii Zuchu mtoto wa KADA Maarufu wa CCMJimbo la kibamba mbona lipo wazi na watu hawalioni.
Chini ya mwenyekiti Mbowe.Kibamba anagombea Msanii Zuchu mtoto wa KADA Maarufu wa CCM
Subhanaallah!πKibamba anagombea Msanii Zuchu mtoto wa KADA Maarufu wa CCM
Mwagito ukiona orodha ya wabunge wa CCM 2025 mbona utatuliaSubhanaallah!π
Hakika mia tisa inapendeza.Mwagito ukiona orodha ya wabunge wa CCM 2025 mbona utatulia
Iringa Mjini Dr Albert Chalamila au Steve Mengele π
Isimani Ray Kigosi
Mikumi CCM imeridhia arudi Prof Jay
Sugu kapewa Temeke DSM
Erick Kabendera ameshamaliza kazi labda useme kama ana karama ya kufufua wafu basi amfufue. Boniyai asingejichanganya na kuwa upande wa Sultan jimbo lilikuwa lake lakini ameshawakera wapiga kura.Mwaka 2015 Lowasa alisema akishinda atamleta Gavana mstaafu wa BoT Dr Balal aliyeaminika kuwa amekufa
Kubenea akiwa Mbunge wa Chadema alisema anajua Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema Mh Ben Saanane alipo kwani huwa anamkuta Maktaba akisoma Magazeti
Kubenea ni Muislamu dini ya Amani hivyo tunaamini October atamaliza huu Utata Ili Amani irejee baada ya Vita aliyoanzisha Kabendera kitabuni kwake
Ahsanteni Sana π
Kibamba si yupo mnyikaJimbo la kibamba mbona lipo wazi na watu hawalioni.
Subiri yajayo yanafurahishaErick Kabendera ameshamaliza kazi labda useme kama ana karama ya kufufua wafu basi amfufue. Boniyai asingejichanganya na kuwa upande wa Sultan jimbo lilikuwa lake lakini ameshawakera wapiga kura.
Naona visungura vimeshachanganya kalale UnonoSubiri yajayo yanafurahisha
Kama hakuuliwa TAL huyu Ben auliwe kwanini? πΌ
Mzee wa shanga upepo ulishakata kitamboMwaka 2015 Lowasa alisema akishinda atamleta Gavana mstaafu wa BoT Dr Balal aliyeaminika kuwa amekufa
Kubenea akiwa Mbunge wa Chadema alisema anajua Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema Mh Ben Saanane alipo kwani huwa anamkuta Maktaba akisoma Magazeti
Kubenea ni Muislamu dini ya Amani hivyo tunaamini October atamaliza huu Utata Ili Amani irejee baada ya Vita aliyoanzisha Kabendera kitabuni kwake
Ahsanteni Sana π