Pre GE2025 October Kubenea atagombea Ubunge wa Ubungo dhidi ya Prof Kitila (CCM) na Boni Yai (Chadema), Kete ya ushindi wa Kubenea ni kutaja alipo Ben Sanane

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwaka 2015 Lowasa alisema akishinda atamleta Gavana mstaafu wa BoT Dr Balal aliyeaminika kuwa amekufa

Kubenea akiwa Mbunge wa Chadema alisema anajua Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema Mh Ben Saanane alipo kwani huwa anamkuta Maktaba akisoma Magazeti

Kubenea ni Muislamu dini ya Amani hivyo tunaamini October atamaliza huu Utata Ili Amani irejee baada ya Vita aliyoanzisha Kabendera kitabuni kwake

Ahsanteni Sana 😃
 
Yupo kwenye tumbo la samaki
 
Erick Kabendera ameshamaliza kazi labda useme kama ana karama ya kufufua wafu basi amfufue. Boniyai asingejichanganya na kuwa upande wa Sultan jimbo lilikuwa lake lakini ameshawakera wapiga kura.
 
Subiri yajayo yanafurahisha

Kama hakuuliwa TAL huyu Ben auliwe kwanini? 🐼
 
Mwaka 2015 Lowasa alisema akishinda atamleta Gavana mstaafu wa BoT Dr Balal aliyeaminika kuwa amekufa

Kubenea akiwa Mbunge wa Chadema alisema anajua Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema Mh Ben Saanane alipo kwani huwa anamkuta Maktaba akisoma Magazeti

Kubenea ni Muislamu dini ya Amani hivyo tunaamini October atamaliza huu Utata Ili Amani irejee baada ya Vita aliyoanzisha Kabendera kitabuni kwake

Ahsanteni Sana 😃
Mzee wa shanga upepo ulishakata kitambo
 
Back
Top Bottom