Odama huvumi lakini umo

yule anaishi maisha ya juu hata kabla ya kuolewa na mzungu...sema mzungu kayapandisha zaidi..
Niliuliza swali hapa kwamba km kweli alizoea maisha ya juu kabla ya ndoa na mzungu why shobo zinazidi km mtu aloyajulia ukubwani???? Kwa maisha ya sasa anayoishi ni ya kawaida sana tu labda hayo ya enzi hizo kabla sijaja mjini ambayo me siyajui
 
mashauzi ni jadi yake..na yeye ndivyo alivyo

Hivi na K lyn alikua akiishi maisha ya juu toka zamanii??maana huyu kiberenge kazidiii jamaniii
 
Nashangaa Warumi hajaiandikaa hiii sijui kwa niniii

Hawakutaka kupigana ila team wema na team kajala ndo walikuwa wanaleta shida, walitaka kuvunja gari jipya la kajala akafanikiw kutoroka nasikia ilikuwa patashika maisha club, wenyew wala hawana shida team zao sasa
 
Yaan hizo team jamanii loll nasikia Wema katukanwa mno Insta eti kazeekaa hamfai domo hahhhha sijui hao ni team ganii lol
 
Hyo itakuwa team warumi lol, aaaah aah natania tu binamu
 
Hivi na K lyn alikua akiishi maisha ya juu toka zamanii??maana huyu kiberenge kazidiii jamaniii

Pengine ata jide anaweza kumpita kimaisha sema tu yeye kwa kuwa anaish nje ndo maana wengi wanamuona anazo ila kawaida
 
Sema tu ni majuu hana lolote na magauni yake hayoo angekua na pesaa angezungukaa wakati keshajifunguaa mi kaniudhi kumchamba Sintaa maneno yenyewe wanakosanishwaa na hizo team zao sema anablok watu ningeenda kumnyambaaa huko manenah zakeee
Au kwa vile anawaleteaga vigaun alivyovivaa huko
 
Mume mwenyewe nasikia muuza maua lol eti Archtecture hata jide tu anamali kuliko albino wake huyo, mbona wenzie akina TK na Odemba wako kimya tu.

Hahhhhahhha kumbe muuza maua super market au wapii halaf nilisikiaa wanaishii kwenye ka mtaa ka mashoga ashabakiaa kusema ooo leo nipo kiwanja gani ooo leo nipo beach kazi kurusha tu pichaaa wana Hela halaf wamepangaa nyooo zakeee wenye pesa zao huko kimyaa lakin ye kujifanya eti celebrity ndio maana hata Shigongo hamuandikii maana hauzii vilee na ukimavi wakee
Na siku zote maskin tukipataa mata.ko huliaa mbwaataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…