Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Najua but jina lake in nani? Maana nasikia tu kibosile wa ewura
Huu umbea huu Itabidi nirudi tena Nije na habari kamili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua but jina lake in nani? Maana nasikia tu kibosile wa ewura
Huu umbea huu Itabidi nirudi tena Nije na habari kamili
Kwenye blog ya Mange sintah anatukanwaa mpaka mama yakee jamanii, huyu mangee mchafu mdomo wakeee
Sio fair Kabisa mama wa watu Ana makosa gani
Mange hajapata mtu wa kumwanika.
Hahahaaaa
Rudi dear nasi tutupe ndoano
Na sijui km atapatikana
Mbona umefurahi shosti?
Na sijui km atapatikana
Huu umbea huu Itabidi nirudi tena Nije na habari kamili
Wanampa kichwaa hao wajinga wanaokoment haoo natamani nikamchambee na hao albino wake manenah zakee
Hivi hawa wakina Tillya wakoje? Maana dada yake chaggabibi hivyo hivyo
Jamani jamani angalieni msije mkachambwa nyie, maana fans wake wanajua kuchambaTujitoe ufahamu twende tukamchambe
Ni madung'ambe... am sorry to say that
Duh.....! Hii thread bhana, badala ya kujadiliwa huyo Odama imekuwa Sintah na Mange.
Tujitoe ufahamu twende tukamchambe
Jamani jamani angalieni msije mkachambwa nyie, maana fans wake wanajua kuchamba
Duh.....! Hii thread bhana, badala ya kujadiliwa huyo Odama imekuwa Sintah na Mange.