Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Yaan kajifunguaa halaf keshaswampa kiwandanii muke ya Muzungu au???!!!
Hiv huyu mmewe ana kazii ganii? ?aje atuonyeshee na nyumba yake au wamepangaaa hahahhhhaaa

Muende na insta Tillya rose anapanga kumuiba obasanjo igweeee. Dogie amemuumbua
 
Hahahahahah below the poverty line....imeniuma sana anavyomshusha na kumdharau Sintah... Awaulize Akina mziray wanopumulia mashine sasa

Jamani huyo mzirai kawajee!!halaf sinta na Mange wanangombaniaga ninii kila sikuu
 
Huyu obasanjo ni nani hebu nipe info nimuwinde

Shogaa usiombeee kwenye blog ya sinta na Mange kuna watu wana matusi na michambo sijui wamesomeaa wapii wana manenoo sijapata na sie kesho huko lazima tuchambweeee wanatusomaa sasa hivii
 
Shogaa usiombeee kwenye blog ya sinta na Mange kuna watu wana matusi na michambo sijui wamesomeaa wapii wana manenoo sijapata na sie kesho huko lazima tuchambweeee wanatusomaa sasa hivii

Kwani huwa wanakuja huku jamiiforums pia? Ndo wapi huko?
 
Shogaa usiombeee kwenye blog ya sinta na Mange kuna watu wana matusi na michambo sijui wamesomeaa wapii wana manenoo sijapata na sie kesho huko lazima tuchambweeee wanatusomaa sasa hivii

Instagram je! Yasni ni balaaa
 
DSCN0755.JPG
 
Kwenye blog ya Mange sintah anatukanwaa mpaka mama yakee jamanii, huyu mangee mchafu mdomo wakeee
 
Back
Top Bottom