Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Poor her! Mange anajiona sana yule as if yupo level za Kim k au Beyonce wakati ni kawaida mnooooo
Siku akifuliaa sisi waandikajii tupoooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor her! Mange anajiona sana yule as if yupo level za Kim k au Beyonce wakati ni kawaida mnooooo
Yaan kajifunguaa halaf keshaswampa kiwandanii muke ya Muzungu au???!!!
Hiv huyu mmewe ana kazii ganii? ?aje atuonyeshee na nyumba yake au wamepangaaa hahahhhhaaa
Muende na insta Tillya rose anapanga kumuiba obasanjo igweeee. Dogie amemuumbua
Usijali utakuja kuchukua yangu dear
Siku akifuliaa sisi waandikajii tupoooooo
Hahahahahah below the poverty line....imeniuma sana anavyomshusha na kumdharau Sintah... Awaulize Akina mziray wanopumulia mashine sasa
Hahhhhahhhhhahhha aisee umenikumbusha mbalii tena hiyo pesa kwa seremala unaitoaa huku unalalamika upungiziwee
Muende na insta Tillya rose anapanga kumuiba obasanjo igweeee. Dogie amemuumbua
Huyu obasanjo ni nani hebu nipe info nimuwinde
Shogaa usiombeee kwenye blog ya sinta na Mange kuna watu wana matusi na michambo sijui wamesomeaa wapii wana manenoo sijapata na sie kesho huko lazima tuchambweeee wanatusomaa sasa hivii
Shogaa usiombeee kwenye blog ya sinta na Mange kuna watu wana matusi na michambo sijui wamesomeaa wapii wana manenoo sijapata na sie kesho huko lazima tuchambweeee wanatusomaa sasa hivii
Kwani huwa wanakuja huku jamiiforums pia? Ndo wapi huko?
hahahaha umeona eeeeeh
nitoe nzima nzima nina ubavu shosti
Mrembo by Nature nipe jina kamili na contacts za obasanjo plz.Muende na insta Tillya rose anapanga kumuiba obasanjo igweeee. Dogie amemuumbua
Jamanii haya majina nimetoka kapaa "!!!ney wa mitegoo au nae si niliona demu wake kaveshwa petee
Huyu obasanjo ni nani hebu nipe info nimuwinde
Jamani huyo mzirai kawajee!!halaf sinta na Mange wanangombaniaga ninii kila sikuu
Bwana wa siwema Yule wa ney wa mitego