Odama huvumi lakini umo

Najifunza kuchangia kwa kumwaga data na mimi na pia nataka kujifunza kunyamba mana mtu ananikwaza naishiaga kumwambia asante....badala ya kumpa maneno anayostahili....
sister kunyamba yahitaji kipaji shouger...
 
Last edited by a moderator:
hivi mnajua kama warumi a.k.a Gossipcopwarumi ni mwanaume ? sa hebu msimharibu kijana wetu mana mnaquotiana naye kikikekike kiasi na yy anajisahau. kiroho safi na sidai chochote meamua kutoa ushauri huu buree..

Na wew joe5 wivu tu , sidhan kama wenzio wanafikir kama wew , waache binamu zangu bhana wamenimis au ulitak wak quote wew?
 
Last edited by a moderator:
hivi mnajua kama warumi a.k.a Gossipcopwarumi ni mwanaume ? sa hebu msimharibu kijana wetu mana mnaquotiana naye kikikekike kiasi na yy anajisahau. kiroho safi na sidai chochote meamua kutoa ushauri huu buree..

Tunajua, asante kwa ushauri ila hatuuhitaji
 
Last edited by a moderator:
hivi mnajua kama warumi a.k.a Gossipcopwarumi ni mwanaume ? sa hebu msimharibu kijana wetu mana mnaquotiana naye kikikekike kiasi na yy anajisahau. kiroho safi na sidai chochote meamua kutoa ushauri huu buree..

Acha wivu wewe lol
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu anataka kutuchafulia hali ya hewa

Hihihii wanaona wivu mnavyojazana kwenye thread zangu tu, mtafuteni na yeye mcoment kweny thread zake maana wataniua sas
 
Nimerudi ila nitakuwa busy kidogo...kikaangoni leo tunamuweka nani manake kazi zenyewe hakuna na umbea nao tushindwe??

Hahhhhahhhhahha nakuaminiaaa lol hatuwezi shindwa umbea tenaa nasikia Mboni kanyambwa Insta sijui kafanyajeee
 
Hihihii wanaona wivu mnavyojazana kwenye thread zangu tu, mtafuteni na yeye mcoment kweny thread zake maana wataniua sas

Hahhhhahhha leo tunawasha kuchambaa tupe umbea binamu siee tutiririkeee au anzisha uzi kabisaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…