Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Hahhhhahhhhahha nakuaminiaaa lol hatuwezi shindwa umbea tenaa nasikia Mboni kanyambwa Insta sijui kafanyajeee
Pole yake....ndo shida ya urafiki wa kupika na kupakua siku mkipishana kiswahili anayamwaga maisha yako yote hadharani.....
 
Pole yake....ndo shida ya urafiki wa kupika na kupakua siku mkipishana kiswahili anayamwaga maisha yako yote hadharani.....

Aache anyambwe ana kimbelembele cha kupapatikia wasanii wagenii na kwenda kujikalisha kwenye mahoteli wanayolala ili wamdinyee
 
10246594_435686819900777_9067853480632006986_n.jpg

Sitaki maswali
 
Na wew
joe5 wivu tu , sidhan kama wenzio wanafikir
kama wew , waache binamu zangu bhana wamenimis au ulitak wak quote
wew?

we jamaa mi metoa ushauri na umeukataa, basi sina tatizo na ujue sikuombei mabaya ....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom