Odama huvumi lakini umo

kuna watu wanajua kuzikuza pic hapa JF mie hata sijui. sijui umuite nani mmbea mwenzetu atusaidie
kingkong
 
Last edited by a moderator:

Nimeona ndio hayoo ya kujipendekezaa kwa mastaaa mara Etto hadi akavaa na jezi ya Etto ,Etoo kala vyake akasepaaa hajarudi, hiv ulimuona siku aliyokua anapaform Fallii pupa alikua ana kiherehere nahis alipitwaa maana Falio nae hua hawakawiziii
 
Last edited by a moderator:
Mi nilisemaa yule mbabu anamhonga Siwema na Siwema anamhonga Ney wa mitego vipi niliona ana mimbaaaa au keshaitoa ina maana Siwema haishi tena Mwanza yupo kwa Ney au!!!
 
Hiyo ya mimba jule insta kwa dogiemasta si kasema ni yadadaake alafu kazi mix na zake ili aonekane yeye kumbe sio
 
Niliona Siwema ana tumbo ni la nanii la Ney au??kazimix niniii sijakupata mrembo
 
Nimeona ndio hayoo ya kujipendekezaa kwa mastaaa mara Etto hadi akavaa na jezi ya Etto ,Etoo kala vyake akasepaaa hajarudi, hiv ulimuona siku aliyokua anapaform Fallii pupa alikua ana kiherehere nahis alipitwaa maana Falio nae hua hawakawiziii

Wenye mji wanadai eti aliliwa bure/alitoa ofa...ila anapenda sana kuachia kifua wazi akiendaga kwenye shoo za wasanii wa nje. basi vititi anavibetua vinasimama weeeee utadhania hajaenda age. Mboni mambo mengine unafanya ni ya mateenager tulia na acha kubetua hivyo vititi vyako. kama wanakutaka watakufwata hata ukiwa umevifunika hvo vititi vyako.
 
Hivi wenye nchi hawajamuona tu kupitia kwenye kipindi chake? Au wanapenda bongo movies tu
 
Hahhhahhhahhhahha hajapata fursa alilia mpaka mbele ya mzee Mwinyii kua wamuombee apate mumee hahhhha aisee kuna umuhimu wa kuolewa mapemaa bado miaka mi nne afikishe 40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…