Hivi hawa waheshimiwa first class wanawapataga wapi!!!!!!!!!
na mie nitafute mmoja
ila wasanii wa kike bongo huwa nampenda sana Mainda mpaka nasisimka.
kama aliyokuwa 2008 hivi baada ya hapo sijawahi kuona hata ana umbo gani
i mean kwenye 2008 ndo nilikuwa nafuatilia maigizo yake,but baada ya hapo sikuwa nafuatilia tena maigizo ya bongo so hata wasanii wengi wa movie kuanzia 2009 na kuendelea wengi siwafahamuMainda alikua enzi zile ziku hizi mkorogo vibaya sana
hio sentensi ya pili ka sijakupata vile
Mhhhhh nina mashaka na wewe...............
njooni kwa excel, yuko bandarini kwa sasa! lols. wote wawili mtapata huduma sawa, ila nyongeza itakuja kulingana na performance appraisal...
cc.. Heaven on Earth.
i mean kwenye 2008 ndo nilikuwa nafuatilia maigizo yake,but baada ya hapo sikuwa nafuatilia tena maigizo ya bongo so hata wasanii wengi wa movie kuanzia 2009 na kuendelea wengi siwafahamu
Hayo maneno ya chini ungeyatafsiri bhabha bhoke thi unajua nilikimbia umande
bungeni binamu, kuna kipindi walialkiwa bongo movie bungeni uko ndo mambo yote yana ji set automatically....
huyu hutaki picha yake
nimeona hilo tatizo, immediately baada ya kuja kwangu, ntahakikisha unaenda kusoma English course Oxford University ukiwa na Heaven on Earth..
kila weekend tutakuwa pamoja beverly hills california tukila bata na Davis Mosha pale hollywood...
msijali, ni mambo madogo tu haya....
hahaaaaa ila binamu me nimekaa miaka mi3 pale CBE sijaambulia hata messenger wa bunge lol!
Hyo Beverly hills umenikumbusha mange kimambi dah , ulaya kna mambo
mkuu namaanisha ban yako ni ya muda gani bana, mbona unapanik hivi?Kwa nini unauliza? Sikujibu hadi nielewe unachomaanisha
Hyo Beverly hills umenikumbusha mange kimambi dah , ulaya kna mambo
Hi hi hi hi zamani ilikuwa cl sasa hivi Hospital sijui nini kitafataBinamu huyo dada hunipa presha nishaacha kuingiaa kwenye blog yakee aisee mara ajifunguee kwenye hospital za kina Beyonce mayoweeeeeeee mi hata kwa Dr. Kilonzo nishashindwaaa