Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

ila wasanii wa kike bongo huwa nampenda sana Mainda mpaka nasisimka.
kama aliyokuwa 2008 hivi baada ya hapo sijawahi kuona hata ana umbo gani

Mainda alikua enzi zile ziku hizi mkorogo vibaya sana

hio sentensi ya pili ka sijakupata vile
 
Mainda alikua enzi zile ziku hizi mkorogo vibaya sana

hio sentensi ya pili ka sijakupata vile
i mean kwenye 2008 ndo nilikuwa nafuatilia maigizo yake,but baada ya hapo sikuwa nafuatilia tena maigizo ya bongo so hata wasanii wengi wa movie kuanzia 2009 na kuendelea wengi siwafahamu
 
njooni kwa excel, yuko bandarini kwa sasa! lols. wote wawili mtapata huduma sawa, ila nyongeza itakuja kulingana na performance appraisal...

cc.. Heaven on Earth.

Hayo maneno ya chini ungeyatafsiri bhabha bhoke thi unajua nilikimbia umande
 
Last edited by a moderator:
i mean kwenye 2008 ndo nilikuwa nafuatilia maigizo yake,but baada ya hapo sikuwa nafuatilia tena maigizo ya bongo so hata wasanii wengi wa movie kuanzia 2009 na kuendelea wengi siwafahamu

ye hata movie sidhani ka anaigiza sana....... mie si mfatiliaji sana ila wengi nawafaham kupitia

habari habari kama hivi
 
Hayo maneno ya chini ungeyatafsiri bhabha bhoke thi unajua nilikimbia umande

nimeona hilo tatizo, immediately baada ya kuja kwangu, ntahakikisha unaenda kusoma English course Oxford University ukiwa na Heaven on Earth..

kila weekend tutakuwa pamoja beverly hills california tukila bata na Davis Mosha pale hollywood...

msijali, ni mambo madogo tu haya....
 
Hyo Beverly hills umenikumbusha mange kimambi dah , ulaya kna mambo
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaa ila binamu me nimekaa miaka mi3 pale CBE sijaambulia hata messenger wa bunge lol!

Hahhhahahhhha aiseee inabidi na hili walipitishe kwenye katiba wallahi haiwezekani iwe kina Faraja Kota tu lolll
 
Honey Faith hata wewe.........

nikipata mie na we jihesabie kama umepata

hawa ma celebrity wetu wanafahamika sana binamu so ni rahis wabunge na wenye nazo kuwaona ki urais kupitia movie na magazeti so mtu akimpenda yeyote anaagiza watu wamtafute haraka sana na sina unajua binamu kwenye mpunga hakuna kinachoshindikana zaidi ya kifo? Ndo apa sasa mapedeshee wanapojiweka kwa mastaa , tofauti na mtu wa kawaida labda tu akuone sehemu akupende
 
Last edited by a moderator:
Hyo Beverly hills umenikumbusha mange kimambi dah , ulaya kna mambo

Binamu huyo dada hunipa presha nishaacha kuingiaa kwenye blog yakee aisee mara ajifunguee kwenye hospital za kina Beyonce mayoweeeeeeee mi hata kwa Dr. Kilonzo nishashindwaaa
 
Binamu huyo dada hunipa presha nishaacha kuingiaa kwenye blog yakee aisee mara ajifunguee kwenye hospital za kina Beyonce mayoweeeeeeee mi hata kwa Dr. Kilonzo nishashindwaaa
Hi hi hi hi zamani ilikuwa cl sasa hivi Hospital sijui nini kitafata
 
Back
Top Bottom