Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Naona mnyukano umeisha, wengine kazi yetu ilikuwa kuchungulia na kusepa tu.
Naona mnyukano umeisha, wengine kazi yetu ilikuwa kuchungulia na kusepa tu.
Naona mnyukano umeisha, wengine kazi yetu ilikuwa kuchungulia na kusepa tu.
Mbaya kweli wewe!!
Mbaya kweli wewe!!
Kwanini Tati,nlikuwa siwezi ingilia mambo yenu .Siunajua wadada wa mjini nyie mambo yenu makubwa.
Wapeni dozi ya maana hao , nyie ndo malkia wa Jamii forum, hakuna miaka miaa
Huu mziki nlikua nuskizia kwa head4ne mana ulikua hatariiii, ila kuna ki2 ntauliza badae mana bidada kasema ana mgodi ila hilo jina cjawahi sikia
Hahahaa...lol haya bwana
Ila kweli tutamkosa mwarabu wa kisukuma jamani.
Nipo badala yakee bina usijal wachawii wa mtaaa wapili wamekuja kutuwangia uchii humuu sie bonge la maarufuuu Jf nomaa
Nani amenunaaaa??? Aaah aaah humu hakunaga, wapeni michambo ya haja hao hadi wakimbie uchiii, au wanatak kumpigia promo yule ajuza na ki blog chake ?? Hiii wamefeli labda waka reset tena
Hahhhhhha mgodi wa kokoto au takamaviiiiii hebu nijuee miee
Hahhhhhahhha na utammissijee hahaahhaa
Welaaaaa aruta kontinyua..... naona speed imeongezeka, hiii team ni noumaaa miaka miaaaa
Ila kweli tutamkosa mwarabu wa kisukuma jamani.
Maana bibie yule kwenye ustaarabu yupo na ukitaka maneno ya shombo nayo anakumwagia.