Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

aiseeeeeeeeeeee sred imefika patamu hii eenheee dina kafanyaje tena mpaka yuko selo cc TATIANA
 
Last edited by a moderator:
hiyo ndio ya mwisho kumjibu..I wont waste more of my time arguing with a fool

watu kama hao ndio the reason why we are missing Dinazarde right now

Heruaaaaaaaaaaaaaaa kumbe tumevamiwaaaa msijali dina atakujaa tu.nilijuaaa tu polen lakini ujumbe umewafikiaaa Heaven vipiii
 
Last edited by a moderator:
Umeshindwa kuajiri ukoo wako utaniweza mimi na ukoo wangu? upendo huanzia nyumbani.. maliza kwanza hao omba omba wa nyumbani kwako then uhamie kwa jirani...upo hapo?? ukija hapa pita hiviiiiiiiiiiiii:laser:

Mwenye pesaa huyo naee pesa ya kubadili kula tu asituletee miguu kama muwaa hapaa kakomaa kwa kijibaa rohoo na bado atakufaa kwa kijiba roho na zeruzeru wake
 
Hahahahahaaaa....lol mbavu zangu miee.. hivi we unadhani kwamba watu wapo serious wanaposema wanatafuta first class bwanaz! Come on girl...you are better than this...tumia akili kidogo tu.. people here are making fun of the so called watoto wa mujini!!! Hahahaaas....don't take life tooo seriously utapata kiharusi...

Cc.. Heaven on Earth
Mrembo by Nature
qn of sheba
ladykims
Dinazarde

Hivi ile hadithi ya kichaa kumkimbiza mbaba akioga haikuwaingia akilini? huyu punguani me nilishampotezea long baada ya kuona hazimtoshi. nani mwenye akili atachukulia utani ule serious???
 
huyu hapa

odama.jpg
See odama
 

Attachments

  • 1397407397171.jpg
    1397407397171.jpg
    41 KB · Views: 98
Back
Top Bottom