Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

aaaaaaahaaaa u a the loser one ...do i arguing wit u where!? Aaaaahaaaa u a stupid one kuvamia watu hata sijaongea na wewe hata sehemu moja khaaaaaa...and u enjoy u a time loser aaaaahaaaaaaa..u even dont knw me u loser

Go back to school first. You need to polish your English.
Tchaaaaaaaaooooooooo
 
Adhabu kubwa ya mpuuzi ni kupuuzwa....

She's not your calibre wewe unaishi kwa jasho lako yeye anaishi kwa kujipendekeza apate ugali. .

Stop this pleaseee mnampa promo hebu mpuuzeni hao ndo wale wakujiita team flani kutwa kushinda kutetea wapuuzi wanatia kinyaa binamu nakuomba Tafadhali usijishushe kiivyo mpuuzeni endeleeni na yenu.

Nimeachana nae binamu hivyo tulivyompa vinamtosha kwa sasa

halafu What happened
 
hujion kama unachukulia mambo seriously kwa kuchukua quote yangu sijui kwenye thread gan\

na kuileta huku tena kuikomalia usivyo na haya wala kujua vibaya.. una hakika JF haina mwenyewe????/

au unaongea uonekane na wewe umeongea, nitafute kazi mara mbili what FOR!!!!!
wewe ndio usie kua na haya wala kujua vibaya unaetaka kutafutiwa mabwana jf huoni ata aibu loooh
 
Go back to school first. You need to polish your English.
Tchaaaaaaaaooooooooo

Mi naona mmejidhalilisha kweli kujibizana nae...

Watu wanaoishi kwa offer za chips mjini nao wanawaumiza vichwa? kiingereza atakijua wapi mtoto wa tandale kutwa kushinda jaani?
 
Adhabu kubwa ya mpuuzi ni kupuuzwa....

She's not your calibre wewe unaishi kwa jasho lako yeye anaishi kwa kujipendekeza apate ugali. .

Stop this pleaseee mnampa promo hebu mpuuzeni hao ndo wale wakujiita team flani kutwa kushinda kutetea wapuuzi wanatia kinyaa binamu nakuomba Tafadhali usijishushe kiivyo mpuuzeni endeleeni na yenu.

yeah ni kwel wakuwapuuza tu eti cjui team nani wenzao wanafanya maendeleo bora hzo team zingewasaidia ni mipasho tu bora awapotezee tu ndo solution
 
Acha tu binamu nimetoka kwa msamaha wa rais ni yuleyule tajiri wa ID alinitia kwenye msukosuko thanks God nimerudi uwanjani..
.

wenzake ni matajiri wa migodi ye tajiri wa ID kazi kweli kweli natamani kumjua huyo
 
wenzake ni matajiri wa migodi ye tajiri wa ID kazi kweli kweli natamani kumjua huyo
aaaaaahaaaa nenda mererani ukaulize dada kani anamiliki mgodi kitalu D si unataka kunijua ni rahisi sana nenda pale hata kazi ya kuchambua mawe utapata kesho naenda huko utanikuta
 
Mi naona mmejidhalilisha kweli kujibizana nae...

Watu wanaoishi kwa offer za chips mjini nao wanawaumiza vichwa? kiingereza atakijua wapi mtoto wa tandale kutwa kushinda jaani?

Oooh OK....tunamwacha....simjibu tena
 
Back
Top Bottom