Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

wadada acheni wivu,hv hamuwezi kukubali mange kawazidi?mashauzi yanahitaji pesa na mange pesa anayo,mnashadadia kamchamba sinta,uyo sinta mbona pia huwa anamchamba mange hamsemi?kunya anye kuku akinya bata kaharisha.em achen wiVu wa kijinga wanawake,kubalini tu kawazidi. na kati yenu najua sinta yupo.ACHENI WIVU WANAWAKE LO!Mmetujazia thread kisa wivu

we ndo mwenye wivu huoni hata haya kama we ni me wazazi wamepata janga shame on you kamzidi nani huyo hvi unajua wenye hela kina bilgate wasemeje au kwa vle ni Usa kapga vipcha na wewe ukapanik ana act maisha ya kna kardashian na kutafta attention kwa watu kama wewe eti wivu aibu yake
 
princess sayuni mie sijambo..
 
Last edited by a moderator:
Sema wewe.tukisema sisi tunaonekana tuna wivu.

una kuta kitu cha kawaida watu watapapatka yani hata cjui niseme hawataki ukweli wa mambo ukisema kweli wivu kuna watu mambo yao safi hawaongei jaman vitu vdogo show of character na ndio mana mwenye nacho TATIANA hawajionyeshi kama Klyin sasa mtu akiweka vpicha vyake watu watateteweka wee nahc muwekaji pcha ana waonaga hamnazo tu kusifia wa change mind bwana
 
Tatizo sijui ni ulimbukeni au nn! Baambie baelewe bhana..
 
Tatizo sijui ni ulimbukeni au nn! Baambie baelewe bhana..

ni kutokujielewa tu hamna lingne na team zao za kutukana bora anaye kwambia ukweli ulimbukeni mbaya dia eti unaweka pcha cjui ya ktanda jamani haya ni majanga
 
Poor u.... umeishiwa point zaidi kusema kutukana ume cream dogo
ume cream aaaaahaaaaa daah division 5 kazi kweli kweli umebaki kuulizia mabwana first class utawapata wp aaaahaaaaaa..ushauri kunamtu alikupa uwende dodoma kama ujui english rudi shule eeeheeh poor u...... aaaahaaaaa byeeeeh kubishana na division 5 ni mtihani mkubwa kweli
 
Back
Top Bottom