Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Umeshindwa kuajiri ukoo wako utaniweza mimi na ukoo wangu? upendo huanzia nyumbani.. maliza kwanza hao omba omba wa nyumbani kwako then uhamie kwa jirani...upo hapo?? ukija hapa pita hiviiiiiiiiiiiii:laser:

ajifunze kuandika kwanza.... anapost ka anakimbizwa
 
wadada acheni wivu,hv hamuwezi kukubali mange kawazidi?mashauzi yanahitaji pesa na mange pesa anayo,mnashadadia kamchamba sinta,uyo sinta mbona pia huwa anamchamba mange hamsemi?kunya anye kuku akinya bata kaharisha.em achen wiVu wa kijinga wanawake,kubalini tu kawazidi. na kati yenu najua sinta yupo.ACHENI WIVU WANAWAKE LO!Mmetujazia thread kisa wivu
 
Wamekujazia thread wewe na nani????
 
SIERA mbona naona unazifuta kabla sijazisoma?? kunywa maji baridi utulie kwanza..hapa ukija na mapovu utarest in peace bureeeeeee shauri yako...oohh ninamiliki hiki, oohh ninamiliki kile acha kupiga mayowe acha watu wayaone wenyewe...I dont care about what you own!! tena kwa kubrag hapa online ambapo keyboard yako ndio shahidi wako? mie si wa kuja we kishoiya kwamba nitishike na sifa zako za kijinga.... wahi roll call inapita kule kimavini kwa ajili ya mgawo wa sidiria leo
aaaaahaaaaa anaetokwa na povu mimi au wewe unae tukana mi sinamda wa matusi my dear sijalelewa ivyo..pole wewe ulolelewa kwa matusi uwo ni mfano tosha wa malezi yako..eti ushahidi wa keybord aaaaahaaaaa utakalia ivyo ivyo kutukana watu ndio kipaji chako...im a gemstone dealer utake usitake huwo ndio ukweli wenyewe kama unataka kazi sema ya ku grade mawe nafasi zipo..kuliko hii kazi ya kutukana
 
Last edited by a moderator:
wadada acheni wivu,hv hamuwezi kukubali mange kawazidi?mashauzi yanahitaji pesa na mange pesa anayo,mnashadadia kamchamba sinta,uyo sinta mbona pia huwa anamchamba mange hamsemi?kunya anye kuku akinya bata kaharisha.em achen wiVu wa kijinga wanawake,kubalini tu kawazidi. na kati yenu najua sinta yupo.ACHENI WIVU WANAWAKE LO!Mmetujazia thread kisa wivu

Hahaha wivu kwa watumia credit cards?? majuu hata bila ya hela utakula, utalala, utaendesha na chochote unachotaka as mikopo iko nje nje na malipo utalipa hata kwa miaka mitano kwa taarifa yako. Wewe wa sichimbi ndo unaona kama ni vitu vigeni kwani hujawahi ona maisha ya ulaya na america.. jifunze na fanya research kwanza kabla hujatetea upumbavu
 
Money my foot! Pesa zipi hizo alizonazo? Wenye pesa za maana wala hawatumii nguvu kujionyesha.. poor her! She is mental sick!!
 
hahahaaaaa mgao utawatoa roho watoto wa kike

Heeee eti ana biashara anaweza kumwajir Mrembo by Nature uuuuwi ndugu zake na ukoo kawamaliza?kijiji? ? Mbona hatumsikii akiajir ???? Nimewaambia tuwaone kwenye list ya matajir wa dunia au hat tz ndo waseme wana pesa kama ni hizi za mboga za kuungaunga za mawazo au msimu watulie kama wananyolewa na kiwembe
 
Last edited by a moderator:
aaaaahaaaaa anaetokwa na povu mimi au wewe unae tukana mi sinamda wa matusi my dear sijalelewa ivyo..pole wewe ulolelewa kwa matusi uwo ni mfano tosha wa malezi yako..eti ushahidi wa keybord aaaaahaaaaa utakalia ivyo ivyo kutukana watu ndio kipaji chako...im a gemstone dealer utake usitake huwo ndio ukweli wenyewe kama unataka kazi sema ya ku grade mawe nafasi zipo..kuliko hii kazi ya kutukana

Kuna hadithi ya kichaa kuiba nguo za baba flani (mwenye akili timamu) wakati anaoga mtoni...baba yule aliamua kumkimbiza kichaa yule ili achukue nguo zake avae, wakati wanapita njiani watu walipoulizwa walisema tumewaona vichaa wawili wanakimbizana mmoja amevaa nguo mwingine hajavaa nguo. Mimi nishagundua wewe ni KICHAA kwa kuzaliwa. siwezi kukimbizana na kichaa kwani na mimi nitaonekana kichaa...pita vileee kwani nikisema pita hiviiiiii utanipakaza mimavi yako uliyookota jalalani. I'm done with you idiot.
 
Umeshindwa kuajiri ukoo wako utaniweza mimi na ukoo wangu? upendo huanzia nyumbani.. maliza kwanza hao omba omba wa nyumbani kwako then uhamie kwa jirani...upo hapo?? ukija hapa pita hiviiiiiiiiiiiii:laser:
aaaaaahaaaaa eti sijaajiri nduguzangu wewe utakapo kua tayari u just let me knw uje ujionee eeeeheeee this is a familly business my dear tunafanya kazi as a familly tunaweza kukupa hata wewe..uache kazi ya kutukana huku jf
 
Heeee eti ana biashara anaweza kumwajir Mrembo by Nature uuuuwi ndugu zake na ukoo kawamaliza?kijiji? ? Mbona hatumsikii akiajir ???? Nimewaambia tuwaone kwenye list ya matajir wa dunia au hat tz ndo waseme wana pesa kama ni hizi za mboga za kuungaunga za mawazo au msimu watulie kama wananyolewa na kiwembe

Acha kukimbizana na mwendawazimu...watu wakikuona watakuona na wewe ni mwendawazimu mwenzake
 
mrembo by nature, unanifanya niamin ww ni sinta 4 sure.coz ulivyoshadadia! kama huna wivu mbona mapovu yanakutoka ka umemeza arial we na wapambe wako wa3? ni kwa sababu sinta kachambwa au kuna lingine? narudia tena Mashauzi yanahitaji pesa.iga ufe.
 
Kuna hadithi ya kichaa kuiba nguo za baba flani (mwenye akili timamu) wakati anaoga mtoni...baba yule aliamua kumkimbiza kichaa yule ili achukue nguo zake avae, wakati wanapita njiani watu walipoulizwa walisema tumewaona vichaa wawili wanakimbizana mmoja amevaa nguo mwingine hajavaa nguo. Mimi nishagundua wewe ni KICHAA kwa kuzaliwa. siwezi kukimbizana na kichaa kwani na mimi nitaonekana kichaa...pita vileee kwani nikisema pita hiviiiiii utanipakaza mimavi yako uliyookota jalalani. I'm done with you idiot.
aaaaahaaaaaa inaelekea wazazi wako walikua na matusi kweli duuh inaelekea toka unazaliwa unasikiliza matusi mpaka unakua i wish niwajue hao walokuzaa daah..useless kid maskini daah mtoto mitusi tuuuu ndio unachojua aaaaahaaaaaa thanks GOD sijapitia maisha hayo kwenye familia yangu
 
Hahaha wivu kwa watumia credit cards?? majuu hata bila ya hela utakula, utalala, utaendesha na chochote unachotaka as mikopo iko nje nje na malipo utalipa hata kwa miaka mitano kwa taarifa yako. Wewe wa sichimbi ndo unaona kama ni vitu vigeni kwani hujawahi ona maisha ya ulaya na america.. jifunze na fanya research kwanza kabla hujatetea upumbavu

Nice piece of advice!
 
mrembo by nature, unanifanya niamin ww ni sinta 4 sure.coz ulivyoshadadia! kama huna wivu mbona mapovu yanakutoka ka umemeza arial we na wapambe wako wa3? ni kwa sababu sinta kachambwa au kuna lingine? narudia tena Mashauzi yanahitaji pesa.iga ufe.
aaaaaahaaaaaa full mawivu alafu anachojua yeye tu ni matusi poor kid daah wazazi wake wana hasara kubwa
 
Kuna hadithi ya kichaa kuiba nguo za baba flani (mwenye akili timamu) wakati anaoga mtoni...baba yule aliamua kumkimbiza kichaa yule ili achukue nguo zake avae, wakati wanapita njiani watu walipoulizwa walisema tumewaona vichaa wawili wanakimbizana mmoja amevaa nguo mwingine hajavaa nguo. Mimi nishagundua wewe ni KICHAA kwa kuzaliwa. siwezi kukimbizana na kichaa kwani na mimi nitaonekana kichaa...pita vileee kwani nikisema pita hiviiiiii utanipakaza mimavi yako uliyookota jalalani. I'm done with you idiot.

Hahhahahhahaha...akupishe kabisa aaikutie shombo mtoto wa watu
 
mrembo by nature, unanifanya niamin ww ni sinta 4 sure.coz ulivyoshadadia! kama huna wivu mbona mapovu yanakutoka ka umemeza arial we na wapambe wako wa3? ni kwa sababu sinta kachambwa au kuna lingine? narudia tena Mashauzi yanahitaji pesa.iga ufe.

Nakuquote kwa kuonesha msisitizo. Hata nikiwa sintah kwani kuna ubaya gani? Sintah si ni binadamu kama ulivyo wewe? au wewe waonaje? Niige kitu gani pale? kubrag au... shoga sijaona cha kuiga pale, may be wewe wa sichimbi ambae hujawahi viona ndo unaona kuna cha kuiga. By the way unaenda lini kupokea nyapu nyapu mlizogawiwa? na hivi kule chanika mnaenda lini kurenew? ujue mda si mrefu vitapungua nguvu fanyeni muwahi kabla havija expire
 
Back
Top Bottom