Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
wadada acheni wivu,hv hamuwezi kukubali mange kawazidi?mashauzi yanahitaji pesa na mange pesa anayo,mnashadadia kamchamba sinta,uyo sinta mbona pia huwa anamchamba mange hamsemi?kunya anye kuku akinya bata kaharisha.em achen wiVu wa kijinga wanawake,kubalini tu kawazidi. na kati yenu najua sinta yupo.ACHENI WIVU WANAWAKE LO!Mmetujazia thread kisa wivu
we ndo mwenye wivu huoni hata haya kama we ni me wazazi wamepata janga shame on you kamzidi nani huyo hvi unajua wenye hela kina bilgate wasemeje au kwa vle ni Usa kapga vipcha na wewe ukapanik ana act maisha ya kna kardashian na kutafta attention kwa watu kama wewe eti wivu aibu yake