Odama huvumi lakini umo

Aya Excel unambishia mange hajafika Beverly hills , umeona?? Dinazarde hapana chezea mange ana pesa chafuuu
 
Last edited by a moderator:
Aiseee!!! Tuache utani Papuchi inalipa bana...Wakileta na kile kisheria kama cha Uganda gharama itakuwa x2 balaa..

Wenye bikira wanataka ndege...Asalalaaa

Ngoja nizichange 😉
 
Muke ya muzungu sa hivi sintah anachambajwe sasa mle ndani........

Tena wanachambanaaa makubwa si walipatana haoo hizo team zao zinawagombanishaa hahhhhahhha sinta nae mashauzii wamekutanaaa sasaa sijui mshindi naniii
 
Mwenzangu namwonea huruma huyo Sintah maana michambo ni mikubwa nahisi mimba itatoka, na huyo Mange anaachia comments mpaka za mama yake Sintah

Huyo Mange nae tutamuona tu na yeyee si angemchambaa tu mpaka amchambe na ya kwaoo kwanza kabayaa kameokolewa kuolewa na mzungu tu
 
Eeeeee maana mahospitali ya mbele ni mazurii tu labda mmewe ana pesaaa hatuwezi juaaa kuna mmoja alimnyamba Mange eti anaishi mitaa wanayoishi mashoga hahhhhahhhhha
 
Aya Excel unambishia mange hajafika Beverly hills , umeona?? Dinazarde hapana chezea mange ana pesa chafuuu

Huko ndio wapii kaenda kufanyajee kupunguza tumbo au??yaan katuandikiaa jina tu labdaaa huyu kwa mashauz simuaminii
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa!!! mkuu hili si ni rum tu kama rum nyingine za tarime?

mbona hata mie naweza andika niko los angeles kwa pembeni bana...! atoke beverly kwa nje kidogo!

Ndo nimetoka kumwambia Heaven on Earth kuhus hiko kit, huo mchezo upo sana instagram, mtu yupo tandika kwenye Insta location Mbezi beach au masaki bhaaas , watu wanatafuta heshima kwa nguvu
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa!!! mkuu hili si ni rum tu kama rum nyingine za tarime?

mbona hata mie naweza andika niko los angeles kwa pembeni bana...! atoke beverly kwa nje kidogo!

Na mim nashangaa binamu yaan kaandika tu jina kuwarushaa lol subirin mi siku nikienda sehemu nzurii tu naaandika na miee
 
Kama ni gvt basi hiyo hospitali ipo juu na view, mmmmmhhhhhh
 
Huko ndio wapii kaenda kufanyajee kupunguza tumbo au??yaan katuandikiaa jina tu labdaaa huyu kwa mashauz simuaminii

Ndio mana yake watu wamemshtukia , anapenda sana sifa eti kajifungulia wanapojifungulia akina Kim kardashian, c bongo tungekoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…