Ngoja na mie nikazane nipate second class
Muheshimiwa first class ..
Basi me upper second atanitosha hahaaa
Tujitahidi kabla Juan halijachwea
Hivi hawa waheshimiwa first class wanawapataga wapi!!!!!!!!!
na mie nitafute mmoja
Yeah tusubiri hili la katiba liishe wiki ijayo ili wale choka mbaya warudi kwao mji watuachie waheshimiwa pekeyao.
Njoo kwa Chinga One kila kitu utapata hata ukitaka kitalu cha gesi ntakupatia na wewe ujidai.
kweli nimekuja mjini na mafuriko ya mto ruvu kama sio msimbazi..yaan huu uzi wala siuonagi...
Hahahaaaa.... huu uzi umepata umaarufu kweli... halafu cha ajabu hau-die naturally Kama zingine.
duuuh yaani nimejuta kutokuoona...ila wadau shikamooni mnamidata balaa kama REDET...nimesoma uzi wa shigongo nimebaki mdomo wazi.
Hahahaaaa.... huu uzi umepata umaarufu kweli... halafu cha ajabu hau-die naturally Kama zingine.
Hauwez kufa kwa maana master plan woote bado tunaufanya uwe active ukitegemea na Dina karudi oooh
Hivi hawa waheshimiwa first class wanawapataga wapi!!!!!!!!!
na mie nitafute mmoja
Hauwez kufa kwa maana master plan woote bado tunaufanya uwe active ukitegemea na Dina karudi oooh
Spika alisemaje nae!!!!!!! hivi ana mume yule
Ndio mana yake watu wamemshtukia , anapenda sana sifa eti kajifungulia wanapojifungulia akina Kim kardashian, c bongo tungekoma
Kazi kwenu watoka jasho kama mnaamini kina kim tu ndo wenye uwezo wa kwenda hiyo sehem. Awe ametoka kwenye familia maskin ama la ndo anaenjoy life hivyo tehteh! Tunaish maramoja why stress 💁💁💁