Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

mi nabanana hapo hapo kwenye first class

Aaaah ivi binamu ulinisoma nilipomaanisha mheshimiwa first class?? Maana naona una nia ya dhati ya kumpata mh first class, hihii unfortunately anakuwa ni mh the one n only
 
bi chau wa jungu kuu yumo humo aje aone umbea wa mjini?
 
Hahahaaaa.... huu uzi umepata umaarufu kweli... halafu cha ajabu hau-die naturally Kama zingine.

duuuh yaani nimejuta kutokuoona...ila wadau shikamooni mnamidata balaa kama REDET...nimesoma uzi wa shigongo nimebaki mdomo wazi.
 
duuuh yaani nimejuta kutokuoona...ila wadau shikamooni mnamidata balaa kama REDET...nimesoma uzi wa shigongo nimebaki mdomo wazi.

Hahahaaaa....watu hatari Sana.. wanamjua MTU kuliko ajijuavyo
 
Ndio mana yake watu wamemshtukia , anapenda sana sifa eti kajifungulia wanapojifungulia akina Kim kardashian, c bongo tungekoma

Kazi kwenu watoka jasho kama mnaamini kina kim tu ndo wenye uwezo wa kwenda hiyo sehem. Awe ametoka kwenye familia maskin ama la ndo anaenjoy life hivyo tehteh! Tunaish maramoja why stress 💁💁💁
 
Kazi kwenu watoka jasho kama mnaamini kina kim tu ndo wenye uwezo wa kwenda hiyo sehem. Awe ametoka kwenye familia maskin ama la ndo anaenjoy life hivyo tehteh! Tunaish maramoja why stress 💁💁💁

Ivi yule mtoto wa mange mkubwa baba yake Nani?? Maana si muonagi akimpaisha instagram , kila siku anampaisha zeru zeru, sio fresh anavyofanya bhna, ampost na yeye kidogo mtoto wake na yeye ajisikie ana baba.
 
Back
Top Bottom