Odama huvumi lakini umo

Washamba wenzie hata siwaogopi na sio kosa lao wamerogwa na CEO wao siku akili zikiwarudia watakuwa wameshachelewa

Ulikua wapiiii tulishamchambaa mpakaa wakatuandika kwenye blog yakee team ikaja humu ikaropoka ikala ban hahhhhhahhhha
 
Hawapataniii ila Linda Kibokoo hata akikuibia mume hukasiriki sanaa maana ni kifaaa

Hayo maneno safii. Kiwatengu jus kam zis way....wanasema tujitahidi kuchagua sample zilizoenda shule eti hawawezi kutuonea wivu banaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…