Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Watu tuna baby face tumejitulizaaaa halaf mnitoe kwenye Uturn yenu msiponitoaa mmeniogopaa sura mbayaa kama matumbo
 
Eeee kwelii lakin ukiibiwaa na haka kenginee lazimaa unune au ukaroge kabisaaa

heeeee uwwwwwi miguu imemkomaaaa na mkorogo umembabua migoti meeusi ataweza vipi kuiba bhana na kwanini tumloge hadi chanika tunamwagia shombo akaliwe na paka shume....
 
Back
Top Bottom