Shalfiner Member Joined Jul 11, 2013 Posts 26 Reaction score 8 Apr 25, 2014 #1,101 Kijiwe kimenoga kweli.
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Apr 26, 2014 Thread starter #1,102 Maho gel said: Namkubali sana huyu manzi she have talen t asee, habahatish Click to expand... Yah yuko poa sana huyu bidada
Maho gel said: Namkubali sana huyu manzi she have talen t asee, habahatish Click to expand... Yah yuko poa sana huyu bidada
Kali Kenye Member Joined Dec 4, 2013 Posts 22 Reaction score 6 Jun 4, 2014 #1,103 Bora hata yeye anafanya kimya kimya, ndo maana huwa namfagilia kinoma noma.
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Jun 4, 2014 Thread starter #1,105 Kali Kenye said: Bora hata yeye anafanya kimya kimya, ndo maana huwa namfagilia kinoma noma. Click to expand... demu anatumia fursa kiakili
Kali Kenye said: Bora hata yeye anafanya kimya kimya, ndo maana huwa namfagilia kinoma noma. Click to expand... demu anatumia fursa kiakili
TATIANA JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 4,690 Reaction score 2,433 Jun 4, 2014 #1,106 warumi said: demu anatumia fursa kiakili Click to expand... Binamu nikamatishe fursaaa πππ
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Jun 5, 2014 Thread starter #1,107 TATIANA said: Binamu nikamatishe fursaaa πππ Click to expand... niliku pm no ya mh ndo kusema hukuipata au unapenda kuchepuka binamu
TATIANA said: Binamu nikamatishe fursaaa πππ Click to expand... niliku pm no ya mh ndo kusema hukuipata au unapenda kuchepuka binamu
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Aug 23, 2014 Thread starter #1,108 Shalfiner said: Kijiwe kimenoga kweli. Click to expand... Kama kawa, uwa sibaatishi kwenye hii sector
Shalfiner said: Kijiwe kimenoga kweli. Click to expand... Kama kawa, uwa sibaatishi kwenye hii sector
wiseboy. JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 2,932 Reaction score 4,544 Aug 23, 2014 #1,109 Duh! kumbe ningeozea jela kama babu seya,nilikuwa na dili na moto kumbe,nimekoma kabisa kudili na makahaba wa bongo movie,nimekomaaaaaa!
Duh! kumbe ningeozea jela kama babu seya,nilikuwa na dili na moto kumbe,nimekoma kabisa kudili na makahaba wa bongo movie,nimekomaaaaaa!
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Aug 23, 2014 Thread starter #1,110 KidumeChambegu. said: Duh! kumbe ningeozea jela kama babu seya,nilikuwa na dili na moto kumbe,nimekoma kabisa kudili na makahaba wa bongo movie,nimekomaaaaaa! Click to expand... MAdemu bongo movie waone vile vile wana wenyewe wale sasa wewe jifanye kidume uingie kichwa kichwa, we muulize hemedy atakusimulia sasa ivi mwenyewe kawa mpole
KidumeChambegu. said: Duh! kumbe ningeozea jela kama babu seya,nilikuwa na dili na moto kumbe,nimekoma kabisa kudili na makahaba wa bongo movie,nimekomaaaaaa! Click to expand... MAdemu bongo movie waone vile vile wana wenyewe wale sasa wewe jifanye kidume uingie kichwa kichwa, we muulize hemedy atakusimulia sasa ivi mwenyewe kawa mpole
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Apr 27, 2015 Thread starter #1,111 TATIANA said: Binamu nikamatishe fursaaa πππ Click to expand... Namba si nilikupa au