Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Jamani jana nilikwama ruvu simuzikaisha chaji nimepitwa na mengi mie kwenye hii thread. Sitaki kuamini na Dinazarde wangu kabigwa ban.
 
Last edited by a moderator:
hii thread uwezi kujua nani wa kiume na wa kike...mishoga imejazana imeachamisha tu mitundu yao.[/QUOTE

minadhani wewe ni shoga no.1 tena bila kukosea utakuwa bilalimashauzi wewe ona unavyotoa harufu nilikuwa mtaa wapili ila nimesikia harufu ya kijambio chako...
 
huyu hapa

odama.jpg

Sio mbaya kwa matumizi ya binadamu.
 
Hivi hawa waheshimiwa first class wanawapataga wapi!!!!!!!!!

na mie nitafute mmoja


Subiri bunge la bajeti lianze,, hili la katiba wachovu wengi... Ukikatiza mjengoni mara 2 tu wakati wanatoka atanasa..hahaa kidding
 
Binamu nimejaa tele....mishemishe kidogo....haya leta mpya za town

Nimeshashusha ubuyu wa unga , sijapat hela ya kununua rangi ila soon ntaleta ubuyu wa rangi tena nyekundu ulioiva.. upate mautamu zaidi
 
Back
Top Bottom