Mkata-tamaa
Senior Member
- Nov 21, 2018
- 180
- 312
Kuna trip mileage ujue, isije ikawa hiyo
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kwaiyo mkuu apo solution Ni kufanyeje?itakuwa ilichakachuliwa hiyo...ili uone inatembea km chache mkuu so itakuwa inatembea ikifika km mia inaanza moja tena.
Ooh sijui kwa kweli ni nini sababu
HaiwezekaniWakuu kama kichwa habari hapo juu
Nina premio yangu ya mwaka 2004
Oddo ilikuwa imefikia km 99,978+ yaan inakaribia laki moja
Cha ajabu leo naiangalia naona imejifuta halafu ikaanza upya saivi inasoma 000116km...
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hiyo ni fursa....Wakuu kama kichwa habari hapo juu
Nina premio yangu ya mwaka 2004
Oddo ilikuwa imefikia km 99,978+ yaan inakaribia laki moja
Cha ajabu leo naiangalia naona imejifuta halafu ikaanza upya saivi inasoma 000116km...
Tatizo linaweza likawa ni nini wakuu?
Nakumbuka wiki iliyopita niliifanyia wheel alignment kwa mashine, je linaweza likawa ni kisababishi?
Naombeni msaada wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooohky ngoja nikuwekee picha mkuuHaiwezekani
km unaweza tuwekee kapicha hata kwa simu ya Mchina
maana Timing belt tu ni 100,000
Ilifika km 99,999...badala ya kuingia laki moja, ikaanza upyaWakuu nimeambatanisha na picha hapo kama mnavyoonaView attachment 1037528
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee! Hii mbona ajabuWakuu nimeambatanisha na picha hapo kama mnavyoonaView attachment 1037528
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie nashangaa mkuuAiseee! Hii mbona ajabu