BASHADA
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 513
- 148
mkuu hiyo ni fursa....
changamkia faster kuuza...wqtanzania wakitaka kununua gari wanaangalia limetembea km ngapi...so tafuta mjinga mjinga umbamize isije ikakufia wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kudanganya walau uongo ukaribiane na ukweli.
Kumbuka juzi tu hapa tumeambiwa na jiwe watanzania siyo wajinga kivile....
Kwa hiyo tuseme aseme amenunua ikiwa na 0km, ikatembea kutoka Dar mpaka Msolwa tuu ndo imefika hiyo 115