Odelo mgombea Uenyekiti CHADEMA ni mtu Nondo kweli kweli

Odelo mgombea Uenyekiti CHADEMA ni mtu Nondo kweli kweli

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii
Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana

Nimempima Kwa mambo yafuatayo

1 Kutofautisha Maandamano na matembezi

Kwamba CHADEMA walihimiza matembezi siyo maandano.
Maandano yanapaswa yainyime serikali amani na itoe suluhu juu ya changamoto kama Kenya

2. Kuongelea mchakato wa uchaguzi ndani ya CHADEMA
Kwamba Wanachama wote wachague kuanzia ngazi ya mtaa

3 Kuokoa uchumi wa WanaCHADEMA.
Hapa amezungumzia CHADEMA kutengeneza ajira

4 Kuhusu kuruhusu wanafunzi wa vyuo vikuu kushiriki katika siasa

5 Kukataa kuomba kura kabla ya kampeni
Hii ilikuwa hekima kubwa
 
Hili la kuwahi kutoa ombi la wanawake 500 wa CHADEMA watembee matiti/manyonyo/kifua wazi kwenda kwa supika unalionaje?
 
Back
Top Bottom