Odemba kamuingiza kwenye 18 akajaa akampiga kwenye MSHONO.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera Faris Buruhan amesema kauli yake aliyoitoa katikati ya mwezi Aprili mwaka 2024 ‘Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia polisi msiwatafute”, ilitafsiriwa tofauti akidai kipande cha video kilichosambaa mitandaoni kilikuwa ni sehemu tu ya mazungumzo yake aliyoyazungumza kwa kirefu
Burhan ameyasema hayo akizungumza na mtangazaji Chief Odemba wa kipindi cha Medani Kuu cha runinga ya Star TV siku ya Jumamosi ambapo hata hivyo ametumia fursa hiyo kuwaomba radhi Watanzania waliokwazika na kauli hiyo na kurejea msemo wa ‘Yaliyopita si ndwele tugange yajayo’
Lilatumika kama reference no matter which position atakuwepoHili lazima litamuandama, ni vigumu kauli hii kupotea bila karma kufanya kazi yake
nonsense 🐒Nimeona hivi karibuni yule mnyambo wa uvccm aliyesema kuwa yeye na genge lake akipoteza watu polisi wasiwatafute akiwa amekula uteuzi wa kundi la uvvccm, sasa swali langu kitendo cha huyo mpoteza watu kupewa uteuzi huo ni kiashiria kuwa genge lililojipachika madarakani bila idhini ya watu limekufa hivyo linasubiri maziko tu baada ya Lissu kutoka tarehe 06/11/2026? naomba majibu wadau hasa wenye akili timamu.
nonsense 🐒
just relax then gentleman,Wewe siyo Nosense, wewe ni Idiot.