PostGE2025 Odero avuliwa uanachama CHADEMA. Alikuwa akipigia chapuo maridhiano!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29!

IMG_20260424_222112_366.jpg

======

Mwanachama na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa 2015, Odero Charles Odero, ametoa wito kwa wanasiasa kuungana pamoja kutafuta suluhisho la kuijenga kwa upya Tanzania badala ya kuendelea kunyosheana vidole

Odero ameyasema haya Leo April 23, 2025 alipokuwa akizungumza na waandiahi wa Habari kuhusu maoni yake mara baada ya Ripoti ya Tume huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ya wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kukabidhi ripoti hiyo kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

" Huu sio Wakati wa kuendelea kulaumiana, kusutana na kunyosheana vidole, bali ni Wakati sahihi wa kutumia meza za mazungumzo kujadili namna ya kurejesha tena Umoja wa kitaifa" amesema Odero

Amesema ripoti imeuma pande zote kwa kuonyesha vichocheo vya uvunjifu wa amani hivyo akatoa wiyi kwa wanasiasa kutuoilia mbali maslahi Yao binafsi bali kinachotakiwa ni kuweka mbele kwanza maslahi ya taifa.

Hili ni swali:
Hivi Wenje bado ni Mwenyekiti wa Kanda?

Kukaa kimya ni kinga ya kudhoofisha chama wakati kila kiongozi mchango wake ni muhimu zaidi wakati huu wa mahitaji makubwa ndani ya chama?

Kudhoofisha chama kanda muhimu kama hiyo ni hasara kubwa kwa chama.
 
Wakuu,

Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29!

View attachment 3578758

View attachment 3578767
This mazafaka is a super idiot!

There can be no reconciliation with offenders who refuse to accept responsibility!
 
" Huu sio Wakati wa kuendelea kulaumiana, kusutana na kunyosheana vidole, bali ni Wakati sahihi wa kutumia meza za mazungumzo kujadili namna ya kurejesha tena Umoja wa kitaifa" amesema Odero
Sasa kapewa fursa hiyo anayoililia yeye bila ya kubughudhiwa na yeyote

. HAKI yake ipo palepale; aende akashirikiane na wenye fikra kama zake bila ya kuathiri chochote katika kundi asilokuwa na ushirikiano wowote nalo.
 
Hili ni swali:
Hivi Wenje bado ni Mwenyekiti wa Kanda?

Kukaa kimya ni kinga ya kudhoofisha chama wakati kila kiongozi mchango wake ni muhimu zaidi wakati huu wa mahitaji makubwa ndani ya chama?

Kudhoofisha chama kanda muhimu kama hiyo ni hasara kubwa kwa chama.
Wenje alishahamia ccm muda mfupi kabla ya uchaguzi wa kihuni uliopita. Tena akaibagaza sana cdm.
 
Hivi kuwa mwanachama wa Chadema huwa mnalipwa??

Maana machadema yanavyoshangilia hapa it is as if kuvuliwa uwanachama ndio mwisho wa maisha.
 
Aende tu chauma au ccm hakuna shida yoyote..
 
Hili ni swali:
Hivi Wenje bado ni Mwenyekiti wa Kanda?

Kukaa kimya ni kinga ya kudhoofisha chama wakati kila kiongozi mchango wake ni muhimu zaidi wakati huu wa mahitaji makubwa ndani ya chama?

Kudhoofisha chama kanda muhimu kama hiyo ni hasara kubwa kwa chama.
Wenje yuko CCM kitambo mkuu, hata kwenye kampeni alikuwa anazungushwa majukwaani kama Peter Msigwa.
 
Wakuu,

Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29!

View attachment 3578758

======

Mwanachama na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa 2015, Odero Charles Odero, ametoa wito kwa wanasiasa kuungana pamoja kutafuta suluhisho la kuijenga kwa upya Tanzania badala ya kuendelea kunyosheana vidole

Odero ameyasema haya Leo April 23, 2025 alipokuwa akizungumza na waandiahi wa Habari kuhusu maoni yake mara baada ya Ripoti ya Tume huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ya wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kukabidhi ripoti hiyo kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

" Huu sio Wakati wa kuendelea kulaumiana, kusutana na kunyosheana vidole, bali ni Wakati sahihi wa kutumia meza za mazungumzo kujadili namna ya kurejesha tena Umoja wa kitaifa" amesema Odero

Amesema ripoti imeuma pande zote kwa kuonyesha vichocheo vya uvunjifu wa amani hivyo akatoa wiyi kwa wanasiasa kutuoilia mbali maslahi Yao binafsi bali kinachotakiwa ni kuweka mbele kwanza maslahi ya taifa.

View attachment 3578767
Safi sana aende akaungane na mapumbavu ya ccm
 
demokrasia ni kuheshimu hoja ya kila mtu/mwanachama na sio kumchukulia hatua pale anapoonesha kupinga hoja yako…
Sio lazima kuheshimu kila hoja ya kila mtu.
 
Back
Top Bottom