PostGE2025 Odero avuliwa uanachama CHADEMA. Alikuwa akipigia chapuo maridhiano!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Chama che demokrasia kisichojua demokrasia, CCM ilishajifia, ila vyama mbadala vinaiga mambo yale yale ya KiuCCM, hivi mnaonaga akina Trump na Lord Starmer wanavopigwa misumari na hakuna mtu anafukuzwa uanachama? sasa mkishika madaraka itakuwaje? Mtaweza kuhimili criticism na mawazo mbadala? Africa bana!
 
demokrasia ni kuheshimu hoja ya kila mtu/mwanachama na sio kumchukulia hatua pale anapoonesha kupinga hoja yako…
Nyie wapumbavu mbona mnakariri kila kitu bila kutumia akili zenu? Huwezi kuheshimu hoja ya mwanachama kama inaenda kinyume cha lengo la chama. Kila chama kina kanuni na kama unaona huendani na walio wengi unatoka na kujiunga na chama kinachoendana na wewe!
 
Wenje yuko CCM kitambo mkuu, hata kwenye kampeni alikuwa anazungushwa majukwaani kama Peter Msigwa.
Mbowe alikuwa na kikundi chake cha wajasiriamali wa kisiasa na kama siyo Mungu kuingilia kati na Lissu kushinda, saa hizi Tanganyika yetu ingekuwa ya viongozi upinzani na CCM kukawana ulaji kama Zanzibar. naona sasa hivi Zanzibar hakuna tena upinzani baada ya OMO na wenzake kupewa madaraka na ving'ora.
 
Tofauti ni kwamba Ulaya na Marekani vyama haviweki mapandikizi kwenye vyama vingine na havitumii dola kuhujumu vyama vingine kama wanavyofanya CCM
 
This mazafaka is a super idiot!

There can be no reconciliation with offenders who refuse to accept responsibility!
Nyie hamtaki maridhiano lakini maisha yanaendelea mwaka utaisha,miaka kisha 2030 hiyo hapo na uchaguzi mwingine utafanyika na hamtafanya kitu....kama mlishindwa kuchukua nchi kipindi kile ambapo mlikuwa na "trained troops"...Leo hamtachukua kabisa ..never ever .
Ushauri wangu ni Bora mkubali maridhiano sasa mtapata kidogo kuliko kukataa maridhiano mpoteze vyote...hakuna mtz wa kuwapigania hayupo na hajazaliwa
 
Vipi kama anapinga hoja(msimamo) wa chama?
Huyu kayataka mwenywe kila chama kina sera,agenda na misimamo yake ya kuzingatia kwenye ushindani wa kisiasa kwenda kinyume ni kukibomoa chama. demokrasia ya kuzungumza ndani ya chama haina budi izingatie nidhamu na maadili kwa maslahi mapana ya chama. wacha afukuzwe.
 
Tume na Report ni vya Rais (Rais Samia) hao wanasiasa wataipata wapi ili waisome. Nadhani kwa sasa Pseudo Politicians watafute namna bora ya survival. No one is Ignorant
 
imekuuma
 
Tatizo ni kuwa hilo mbwiga linapinga kwenye media jambo ambalo limepitishwa na vikao husika vya chama.
 
Kabisa
 
Wenje yuko CCM kitambo mkuu, hata kwenye kampeni alikuwa anazungushwa majukwaani kama Peter Msigwa.
Duh!

Hili naona lilinipita pembeni kabisa.

Ahsante kwa taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…