Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
"Kilichotokea Oktoba ni funzo kwetu na matatizo ya muda mrefu ambayo yanahitaji hatua za dharura, za kati na za muda mrefu kuzitatua kwa sababu unapokuwa katika taifa ambalo linakuwa na Sonona ambayo imesababishwa na mambo mengi...endapo akishawishika ni rahisi sana kutokana na hali yake kukosa amani na utulivu na kufanya chochote ambacho kinaweza kuja mbele yake," amesema. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uraia na Msaada wa Kisheria (CILAO)Odero Charles Odero , katika mahojiano maalum na Jambo Tv