super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,057
- 825
WANAWAKE AMBAO WANGEKUBALI HILI HAWANA AKILI HATA KIDOGO. KWANINI MSINGEENDA WANAUME NA VIONGIOZI WA HICHO CHAMA HUKU MNAONYESHA MIOGO NYENU WAZI WAZI MADEMU WAJIONEE VIBAMIA VYETU?Wakuu,
Akiulizwa na Odemba kwanini CHADEMA kwa sasa ikiitisha maandamano watu hawaendi, Odero amesema kuwa kinachofanyika CHADEMA kwa sasa sio maandamano ni matembezi ya amani.
Akaongeza kwa kusema kuwa alishawahi kushauri CHADEMA kupeleka wanawake mia tano wakiwa vifua wazi mbele ya nyumba ya Spika wa Bunge kama form ya maandamano
"Wakati ule bunge linaendelea Dodoma nilisema tupeleke wanawake 500 asubuhi na mapema kwenye makazi ya Spika wa Bunge la Tanzania asubuhi na mapema anafungua tu mlango anakuta wanwake ambao kwa hasira yao wamevaa wameacha maziwa yao nje"
maandama hayo yatavutia vijana wengi sana kuyashuhudia,Hii Chadema ni ya kufutwa tu na Msajili
Mh Odero anayegombea Uenyekiti Chadema amesema alipendekeza Bawacha Waandamane hadi Nyumbani Kwa Spika Dr Tulia PhD huku wakiwa wameyaacha Wazi maziwa yao ( Matiti)
Niishie hapo
Source Mdahalo Star tv
Odero this doesnt sound wise kwakweliWakuu,
Akiulizwa na Odemba kwanini CHADEMA kwa sasa ikiitisha maandamano watu hawaendi, Odero amesema kuwa kinachofanyika CHADEMA kwa sasa sio maandamano ni matembezi ya amani.
Akaongeza kwa kusema kuwa alishawahi kushauri CHADEMA kupeleka wanawake mia tano wakiwa vifua wazi mbele ya nyumba ya Spika wa Bunge kama form ya maandamano
"Wakati ule bunge linaendelea Dodoma nilisema tupeleke wanawake 500 asubuhi na mapema kwenye makazi ya Spika wa Bunge la Tanzania asubuhi na mapema anafungua tu mlango anakuta wanwake ambao kwa hasira yao wamevaa wameacha maziwa yao nje"
Ni mwanamke?😁No offence, na mama yake akiwemo?
But… You don’t do that for the sake of it. Maziwa-nje lazima ibebe ujumbe ambao kimantiki unakwenda nayo sanjari. Kwanza wote ni kina mama. Hivyo haki watakaiyovalia njuga kwa style hiyo lazima iwe ya akina mama. Sidhani kama Odero alikusudia ujumbe ambao una gender bias, lakini sijui kwanini alitaka wanawake ndio wawe wabeba ujumbe.Ufaransa ilifanyika hii.
Ila odero kutoa wazo wanaona ni impossible/udhalilishaji.
Hii ni form ya resistance.
Wanaume 500 na mishedede nje nje tena asuhi itakuwa ni balaa ha ha haKwanini wanawake na si wanaume? Kwanini wavuliwe nguo? Hamna mtu hapo
Kweli akili ni nywele..... kila mtu ana zakeWanaume 500 na mishedede nje nje tena asuhi itakuwa ni balaa ha ha ha
. Huyu jamaa aisee...
Haya manyumbu haya, kweli hayaña akili.Wakuu,
Akiulizwa na Odemba kwanini CHADEMA kwa sasa ikiitisha maandamano watu hawaendi, Odero amesema kuwa kinachofanyika CHADEMA kwa sasa sio maandamano ni matembezi ya amani.
Akaongeza kwa kusema kuwa alishawahi kushauri CHADEMA kupeleka wanawake mia tano wakiwa vifua wazi mbele ya nyumba ya Spika wa Bunge kama form ya maandamano
"Wakati ule bunge linaendelea Dodoma nilisema tupeleke wanawake 500 asubuhi na mapema kwenye makazi ya Spika wa Bunge la Tanzania asubuhi na mapema anafungua tu mlango anakuta wanwake ambao kwa hasira yao wamevaa wameacha maziwa yao nje"
Women of France waliji-organise wenyewe.But… You don’t do that for the sake of it. Maziwa-nje lazima ibebe ujumbe ambao kimantiki unakwenda nayo sanjari. Kwanza wote ni kina mama. Hivyo haki watakaiyovalia njuga kwa style hiyo lazima iwe ya akina mama. Sidhani kama Odero alikusudia ujumbe ambao una gender bias, lakini sijui kwanini alitaka wanawake ndio wawe wabeba ujumbe.