Pre GE2025 Odero Odero: Nilishawahi kuishauri CHADEMA tupeleke wanawake 500 ambao wameacha matiti yao nje, nyumbani kwa Spika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ufaransa ilifanyika hii.
Ila odero kutoa wazo wanaona ni impossible/udhalilishaji.
Hii ni form ya resistance.
 
Hivi huyu jamaa ni mwanachadema??? Anagombea uenyekiti?? Mbona sijawahi kumsikia?
Mbona Mbowe anapambana na kumrushia tuhumu Lissu pekee kumbe kuna mtu mwingine anayeitaka nafasi yake???
 
Wakuu,

Akiulizwa na Odemba kwanini CHADEMA kwa sasa ikiitisha maandamano watu hawaendi, Odero amesema kuwa kinachofanyika CHADEMA kwa sasa sio maandamano ni matembezi ya amani.

Akaongeza kwa kusema kuwa alishawahi kushauri CHADEMA kupeleka wanawake mia tano wakiwa vifua wazi mbele ya nyumba ya Spika wa Bunge kama form ya maandamano

"Wakati ule bunge linaendelea Dodoma nilisema tupeleke wanawake 500 asubuhi na mapema kwenye makazi ya Spika wa Bunge la Tanzania asubuhi na mapema anafungua tu mlango anakuta wanwake ambao kwa hasira yao wamevaa wameacha maziwa yao nje"

WANAWAKE AMBAO WANGEKUBALI HILI HAWANA AKILI HATA KIDOGO. KWANINI MSINGEENDA WANAUME NA VIONGIOZI WA HICHO CHAMA HUKU MNAONYESHA MIOGO NYENU WAZI WAZI MADEMU WAJIONEE VIBAMIA VYETU?

Sisi vijana wa hovyo tungetumia hizo video clip na picha zao wakiwa wanaonyesha matiti yao hadharani kupigia nyeto na siyo vinginevyo.

Pia tungekua tunazoom na kudiscus ni mwanamke yupi ana matiti mazuri kuliko wenzake na hivyo hivyo tungepigia nyeto.

Nb. HUU NI UDHALIKISHAJI WA WANAWAKE BORA HAWAKUFANYA HIVYO.. NA KAMA WANGE FANYA HIVYO BASI NI VYEMA WANGEPELEKA MAMA ZAO ,WAKE ZAO, NA MABINTI ZAO WENYEWE
 
Hii Chadema ni ya kufutwa tu na Msajili

Mh Odero anayegombea Uenyekiti Chadema amesema alipendekeza Bawacha Waandamane hadi Nyumbani Kwa Spika Dr Tulia PhD huku wakiwa wameyaacha Wazi maziwa yao ( Matiti)

Niishie hapo

Source Mdahalo Star tv
 
maandama hayo yatavutia vijana wengi sana kuyashuhudia,

infact maandamano hayo yataliunganisha taifa la vijana.

ila viongozi wa chadema bana dah :pedroP:
 
Kwa hapa Nchini ataonekana ni wa ajabu lakini sehemu nyingine Duniani ni kawaida.

Nani anamkumbuka marehemu Nobel holder Wangari Mathai?!
 
Wakuu,

Akiulizwa na Odemba kwanini CHADEMA kwa sasa ikiitisha maandamano watu hawaendi, Odero amesema kuwa kinachofanyika CHADEMA kwa sasa sio maandamano ni matembezi ya amani.

Akaongeza kwa kusema kuwa alishawahi kushauri CHADEMA kupeleka wanawake mia tano wakiwa vifua wazi mbele ya nyumba ya Spika wa Bunge kama form ya maandamano

"Wakati ule bunge linaendelea Dodoma nilisema tupeleke wanawake 500 asubuhi na mapema kwenye makazi ya Spika wa Bunge la Tanzania asubuhi na mapema anafungua tu mlango anakuta wanwake ambao kwa hasira yao wamevaa wameacha maziwa yao nje"

Odero this doesnt sound wise kwakweli
 
Ufaransa ilifanyika hii.
Ila odero kutoa wazo wanaona ni impossible/udhalilishaji.
Hii ni form ya resistance.
But… You don’t do that for the sake of it. Maziwa-nje lazima ibebe ujumbe ambao kimantiki unakwenda nayo sanjari. Kwanza wote ni kina mama. Hivyo haki watakaiyovalia njuga kwa style hiyo lazima iwe ya akina mama. Sidhani kama Odero alikusudia ujumbe ambao una gender bias, lakini sijui kwanini alitaka wanawake ndio wawe wabeba ujumbe.
 
Kenya miaka ya nyuma wakiongozwa na Profesa Wangari Maathari wanawake wakiwa almost naked waliandama kuhusu ustawishaji wa mazingira na kupanda miti
.
Na miaka ya karibuni wanawake kutoka Muranga huko Kenya waliandamana wakiwa nusu uchi wakipinga ulevi wakupindukia kwa wanaume kushindwa kufanya tendo la ndoa sababu hawana nguvu.

Lakini katika maandamano hayo hayakuleta impact yoyote. Wengine wakiita ni uchuro,au laana.
 
Wakuu,

Akiulizwa na Odemba kwanini CHADEMA kwa sasa ikiitisha maandamano watu hawaendi, Odero amesema kuwa kinachofanyika CHADEMA kwa sasa sio maandamano ni matembezi ya amani.

Akaongeza kwa kusema kuwa alishawahi kushauri CHADEMA kupeleka wanawake mia tano wakiwa vifua wazi mbele ya nyumba ya Spika wa Bunge kama form ya maandamano

"Wakati ule bunge linaendelea Dodoma nilisema tupeleke wanawake 500 asubuhi na mapema kwenye makazi ya Spika wa Bunge la Tanzania asubuhi na mapema anafungua tu mlango anakuta wanwake ambao kwa hasira yao wamevaa wameacha maziwa yao nje"

Haya manyumbu haya, kweli hayaña akili.
Hao wanawake ni wake zao au aargh! Nyumbu hovyo kabisa.
 
But… You don’t do that for the sake of it. Maziwa-nje lazima ibebe ujumbe ambao kimantiki unakwenda nayo sanjari. Kwanza wote ni kina mama. Hivyo haki watakaiyovalia njuga kwa style hiyo lazima iwe ya akina mama. Sidhani kama Odero alikusudia ujumbe ambao una gender bias, lakini sijui kwanini alitaka wanawake ndio wawe wabeba ujumbe.
Women of France waliji-organise wenyewe.
Hawakuwa na mawazo kama muwazayo ninyi eti "udhalilishaji "
Wenyewe walichokuwa wanataka ni "Message Sent "
 
Back
Top Bottom