Odi jamani namba mnipoke niwe mwana cha

Mungu wangu sasa ukisikia zambi halisi ndio hizi[emoji23][emoji87][emoji23][emoji87][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Jamaa yuko serious na ameona humu ndo mwakueleza shida zake,msimbeze,mwambieni kama hamuwezi kumsaidia au mnaweza.Hata hivyo yeye mwenyewe anakiri kwakuriplai kua hajaenda shule kiasi chakuweza kuandika vizuri.Acheni kumbeza.After all mnaombeza jaribuni kumdadisi umri wake aweke bayana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukeli najua kusoma nakuandika ila shida bado sijui ku chat na simat phon laki so shule mnisaidie to kama kuna uwezekano nakama amuna safitu nitafute pengine wanasema alioko juu mngoje chini lakini mimi sikutaka ku wangoja chini ndomaana nimewafata juu tufundishane tu waungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale walo enda shule naombeni kuwaulizeni swali nini maana ya dasi dasi urukia dasi katika mdwara wake wale washule asa asa naomba mshana nijibu ukipatia narudi shule

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh kwakweli hapa nimechemka halafu nimegundua unacheza na akili zetu..... Sijui kwanini umeamua kufanya hivyo

Jr[emoji769]
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…