Odinga aikomalia Serikali ya Kenya

Boran Jakutay

Senior Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
110
Reaction score
259
Kiongozi wa Azimio nchini Kenya, Raila Odinga pamoja na viongozi wengine wa upinzani wametangaza kurejesha maandamano ya kila Jumatatu na Alhamisi huku wakisema Serikali haijaonesha nia ya kutafuta suluhu ya malalamiko yao kupitia mazungumzo.
 
Hivi hawezi kuhamia huku tuanze maandamano kuna viongozi wamevimba matako kisa kula kodi zetu mfano nape,makamba n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…