Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
Kiongozi wa Azimio nchini Kenya, Raila Odinga pamoja na viongozi wengine wa upinzani wametangaza kurejesha maandamano ya kila Jumatatu na Alhamisi huku wakisema Serikali haijaonesha nia ya kutafuta suluhu ya malalamiko yao kupitia mazungumzo.