Odinga alenga kushinda uchaguzi raundi ya kwanza

Odinga alenga kushinda uchaguzi raundi ya kwanza

Sumasuma

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
342
Reaction score
110
Ikiwa chini ya wiki tatu kabla ya uchaguzi mkuu wa urais nchini Kenya, Waziri Mkuu aliyepo madarakani Raila Odinga anaongeza juhudi na matumaini yake ya kushinda katika mzunguko wa kwanza. Huku siku za uchaguzi zikikaribia Odinga anaongeza ukosoaji wake dhidi ya mpinzani wake mkuu kwa matumaini ya kuepuka upigaji kura wa mzunguko wa pili.

Odinga na Naibu Waziri Mkuu, Uhuru Kenyatta ni wagombea urais wanaoongoza. Lakini katika kundi la wagombea wanane waliopo utafiti unaonyesha hakuna mgombea yeyote atayepata nusu ya kura katika mzunguko wa kwanza. Jambo hilo litasababisha kuwepo na mzunguko wa pili kati ya wagombea wawili wa juu.

Licha ya maoni ya utafiti wapanga mikakati wa Odinga wana imani kuwa anaweza kushinda katika mzunguko wa kwanza.

Ni operesheni kubwa. Kampeni ya Odinga inajumuisha timu nane zinazotangulia katika mikutano ya hadhara na maelfu ya watu wa kujitolea. Wiki iliyopita walipanga mikutano iliyojaa watu kwenye eneo lote la jimbo la Pwani.

Wanachama wa Bwana Odinga wa Coalition for Reforms and Democracy waliongeza mashambulizi yao dhidi ya bwana Kenyatta wakiwakumbusha wapiga kura kwamba mpinzani huyo bado yupo chini ya shutuma za mahakama ya kimataifa ya uhalifu-ICC.

Bwana Kenyatta na mgombea wake mwenza William Ruto wote wanashtakiwa katika kuhusika na ghasia ambazo zilitokea kote Kenya baada ya uchaguzi wa urais uliokuwa na utata mwaka 2007. Bwana Kenyatta amerudia kukanusha mashtaka ya ICC na alisema kwenye mdahalo wa urais wa jumatatu kuwa kesi hiyo haitaingilia uwezo wake wa kuongoza nchi.

Lakini katika mkutano huko Malindi mgombea mwenza wa Bwana Odinga, Kalonzo Musyoka aliwaonya wapiga kura kwamba kumchagua Bwana Kenyatta kutaharibu sifa ya Kenya kimataifa.

source: Voice of America


===================================================================================================


Kenya PM Aims to Win Presidency in First Round

56D779D4-7D93-43C3-A71D-F572150F4435_w640_r1_s_cx0_cy6_cw0.jpg


Orange Democratic Party presidential candidate, Raila Odinga (R), displays his registration certificate, with running mate Vice President Kalonzo Musyoka (L), in Nairobi, Kenya, January 30, 2013.

Andrew Green

February 12, 2013

UKUNDA, KENYA - With less than three weeks before the Kenyan presidential election, current Prime Minister Raila Odinga is vying for an outright first-round win. As election day gets closer, Odinga's campaign is increasing its criticism of his main opponent in hopes of avoiding a run-off vote.

Odinga and Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta are Kenya's presidential frontrunners. With eight candidates in the field, however, surveys indicate none of the contenders will win more than half the vote in the first round. That would set up a run-off election between the top two finishers.

Despite the polls, Odinga's strategists are convinced a first-round victory is possible.

It is a massive operation. The Odinga campaign includes eight different advance teams and thousands of volunteers. Last week they organized packed rallies across the Coast province.

There, members of Odinga's Coalition for Reforms and Democracy increased their offensive against Kenyatta, continuously reminding voters that he is under indictment by the International Criminal Court.

Kenyatta and his running mate, William Ruto, are both charged in connection with the violence that swept across Kenya after the disputed presidential election in 2007. Kenyatta repeatedly has denied the ICC charges, and said during Monday's presidential debate the trial would not interfere with his ability to govern the country.

At a rally in Malindi, though, Odinga running mate Kalonzo Musyoka warned voters that electing Kenyatta would damage Kenya's international reputation.

"We do not want as a people to do things that are going to bring disgrace and dishonor to this nation," said Musyoka.

In a country with 42 different ethnic communities, tribalism in voting also is a key concern.
Wafula Buke, the campaign's field manager, said Odinga is looking to project an image of inclusiveness.

"For once, you can have 40 communities identify him as a leader that can help this nation move forward," said Buke. "Of course, in the remaining two, which is our rival's strongholds, we have elements of support, but there they dominate."

Buke said the campaign also will continue to focus on land redistribution, which played well in the Coast province. Odinga's manifesto promises to address situations where communities were forcibly displaced from land.

Walter Odhiambo, who is helping run the campaign for a local member of parliament, said Odinga's land stance was one of the main reasons his candidate joined the prime minister's coalition.

"It's the key reason. We need the land issue to be settled. We need the poverty to be settled," said Odhiambo. "We think if we choose CORD to govern the country, we will realize all these things."

Following Monday's debate, Odinga is set to return to the road. Buke said that while the campaign's key messages are established, the schedule is flexible depending on what additional issues arise.


http://www.voanews.com/content/kenya_pm_aims_to_win_presidency_in_first_round/1601983.html
 
kiwa chini ya wiki tatu kabla ya uchaguzi mkuu wa urais nchini kenya, waziri mkuu aliyepo madarakani raila odinga anaongeza juhudi na matumaini yake ya kushinda katika mzunguko wa kwanza. Huku siku za uchaguzi zikikaribia odinga anaongeza ukosoaji wake dhidi ya mpinzani wake mkuu kwa matumaini ya kuepuka upigaji kura wa mzunguko wa pili.

Odinga na naibu waziri mkuu, uhuru kenyatta ni wagombea urais wanaoongoza. Lakini katika kundi la wagombea wanane waliopo utafiti unaonyesha hakuna mgombea yeyote atayepata nusu ya kura katika mzunguko wa kwanza. Jambo hilo litasababisha kuwepo na mzunguko wa pili kati ya wagombea wawili wa juu.

Licha ya maoni ya utafiti wapanga mikakati wa odinga wana imani kuwa anaweza kushinda katika mzunguko wa kwanza.

Ni operesheni kubwa. Kampeni ya odinga inajumuisha timu nane zinazotangulia katika mikutano ya hadhara na maelfu ya watu wa kujitolea. Wiki iliyopita walipanga mikutano iliyojaa watu kwenye eneo lote la jimbo la pwani.

Wanachama wa bwana odinga wa coalition for reforms and democracy waliongeza mashambulizi yao dhidi ya bwana kenyatta wakiwakumbusha wapiga kura kwamba mpinzani huyo bado yupo chini ya shutuma za mahakama ya kimataifa ya uhalifu-icc.

Bwana kenyatta na mgombea wake mwenza william ruto wote wanashtakiwa katika kuhusika na ghasia ambazo zilitokea kote kenya baada ya uchaguzi wa urais uliokuwa na utata mwaka 2007. Bwana kenyatta amerudia kukanusha mashtaka ya icc na alisema kwenye mdahalo wa urais wa jumatatu kuwa kesi hiyo haitaingilia uwezo wake wa kuongoza nchi.

Lakini katika mkutano huko malindi mgombea mwenza wa bwana odinga, kalonzo musyoka aliwaonya wapiga kura kwamba kumchagua bwana kenyatta kutaharibu sifa ya kenya kimataifa.

Source: Voice of america

hata mimi nawaunga mkono wananchi wa kenya kwamba wasimchague uhuru kenyata na william ruto maana wana case za kujibu huko the haig, haiwezekani wawachague watu ambao wana tuhuma za kusababibisha machafuko na case yao iko bado mahakamani
mcahgueni raila odinga awe raisi wenu mpya wa kenya, hata sisi wa tanzania tunampenda
 
Hivi kweli unaamini Raila hakuhusika hata chembe na hayo mauaji? Haiwezekani umuhusishe Ruto bila Raila huu ni usanii. By the way, kitendo cha familia yake kucheza rafu kwenye kura za maoni kutafuta wagombea wa CORD, kimewagawa wa Luo. Jamaa hashindi tutake tusitake UHURU ni rais anayekuja. na shemeji ya Raila Ruto ni VP.
 
Kwa staili ya Upigaji Kura ilivyo Kenya, ni ngumu sana OMORO kushinda, make wapiga kura wake ni wachache kuliko wa Uhuru
 
Hivi kweli unaamini Raila hakuhusika hata chembe na hayo mauaji? Haiwezekani umuhusishe Ruto bila Raila huu ni usanii. By the way, kitendo cha familia yake kucheza rafu kwenye kura za maoni kutafuta wagombea wa CORD, kimewagawa wa Luo. Jamaa hashindi tutake tusitake UHURU ni rais anayekuja. na shemeji ya Raila Ruto ni VP.

Hivi kweli unaamini kibaki hakushiriki hata kidogo katika hayo mauaji? Tatizo lenu wakenya siasa zenu zimebase sana kikabila. You are totaly blinded by tribalism,hata kama mtu wa kabila lako hafai lakin unakufa nae tu.mwisho wasiku mtakuja pata rais muhuni,muuaji,mtumia madawa ya kulevya na asiyekubalika kimataifa.shame on you na ukabila wenu.
 
Hata maankali na ami zake wanaendelea na ile kamati yao ya kuratibu kusheherkea fuzu ya marsam yake pale kwa five 5, kwa mustakbal wa alijojo kwa hasimu wake ..
 
Not so fast dude, i am worried of the realities there especially when i listened to this analyst...If RAO wins then Kenya is free of ethnicity



 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli unaamini Raila hakuhusika hata chembe na hayo mauaji? Haiwezekani umuhusishe Ruto bila Raila huu ni usanii. By the way, kitendo cha familia yake kucheza rafu kwenye kura za maoni kutafuta wagombea wa CORD, kimewagawa wa Luo. Jamaa hashindi tutake tusitake UHURU ni rais anayekuja. na shemeji ya Raila Ruto ni VP.
Chagueni Uhuru na mtakuja juta kama wanavyojuta Watanzania,wanamukumbuka Dr Salim Ahmed Salim na nyie mtamukumbuka Raila,
 
hata mimi nawaunga mkono wananchi wa kenya kwamba wasimchague uhuru kenyata na william ruto maana wana case za kujibu huko the haig, haiwezekani wawachague watu ambao wana tuhuma za kusababibisha machafuko na case yao iko bado mahakamani
mcahgueni raila odinga awe raisi wenu mpya wa kenya, hata sisi wa tanzania tunampenda
Inahusuuu
 
DIS-CORD ??!! ' - Raila Odinga was on Thursday shocked at a rally in Meru, after area residents attended his rally wearingTNA caps and T- shirts. Although the rally continued with calm, Raila was shocked to learn that majority of Meru residents were wearing Uhuru Kenyatta's caps and T-shirts. This forced Raila to call for an urgent meeting with his campaign chiefs after the rally, to question on whether they lacked campaign materials to offer to Meru people. In other news, Kalonzo Musyoka was booed and heckled at a rally in Chuka town on Thursday. Kalonzo is Raila's running mate in CORD alliance, was forced to apologise to the area residents for verbally attacking Uhuru Kenyatta's development record. Kalonzo was forced to cut short his rally and fly off the venue, after rowdy youths continuously heckled and booed him.'
 
Hivi kweli unaamini kibaki hakushiriki hata kidogo katika hayo mauaji? Tatizo lenu wakenya siasa zenu zimebase sana kikabila. You are totaly blinded by tribalism,hata kama mtu wa kabila lako hafai lakin unakufa nae tu.mwisho wasiku mtakuja pata rais muhuni,muuaji,mtumia madawa ya kulevya na asiyekubalika kimataifa.shame on you na ukabila wenu.

Hakuna nilipoandika kuwa Kibaki hahusiki, hata yeye lazima alikuwa anajua kilichokuwa kinaendelea, haiingii akilini mwa mtu mwerevu eti Muthaira afanye vitu bila idara ya usalama na rais kujua.
 
Nafikiri unajiandikia tu humjui Raila, pole saana.

Raila ni mpenzi wa Vitendawili na sijui kama vitendawili vinaweza jenga nchi. Kwanini tusimuulize ameifanyia nini Kibera pale Langata. Unakumbuka alipo enda fungua Champion Secondary School September 11, 2011 alisema kila mwana Kibera atapata Title Deed ya kiwanja chake, hayo tuonyeshe hizo deed za wana Kibera.

Ndio maana Vitendavili havijengi nchi.
 
Friday February 15, 2013 -
Reports reaching our news desk
indicate that Coalition for
Reform and Democracy (CORD)
Presidential flag bearer Raila
Odinga has had a hard time
selling his ideas in Embu and at
one point had stones hurled
towards his entourage at a rally
in the Upper Eastern, town.
Raila was addressing a rally in
Embu town where he attacked
Deputy Prime Minister Uhuru
Kenyatta’s track record, saying
he cannot be trusted on
implementing land reforms since
he is a beneficiary of massive
land grabbing during the
previous regime.
At first the crowd who had
gathered for the rally booed him
and heckled him but as he
continued with verbal attacks on
Uhuru, the crowd became hostile
and began pelting small stones at
the dias where the PM was
sitting.
Commotion and confusion rocked
the rally where the PM’s elite
guards were forced to do an
extra work to protect the PM
from the wrath of the public.
 
Kenya bado ukoloni haujaisha vicjwani mwa watu. Bado walio wengi wanfikiri juu ya kutwaliwa na kabila moja tuu muda wote na wanafikiri kuwa watu wengine ni watawaliwa tu muda wote.

Hii ni mbaya sana kwa nchi. Na hii ndiyo iliyoipelekea Rwanda kuingoa kwenye vita ile mbaya sana ambayo leo imekuwa ni historia isiyo sahaulika.

Wakenya igeni mfano wa Tanzania. Mwanasiasa anaposimama kutaka kugombea uongozi hatazami kabisa kabila lake bali hutazama kwanza kama atapendwa kiasi gani na wale wanachsma wa chama pinzani na kisha ndipo aangalie atspendwa vipi na wana chama wa chama chake.

Hata hivyo nawatakia uchaguxi mwema usio na majuto na aibu. God bleasse Kenya.
 
Kenya bado ukoloni haujaisha vicjwani mwa watu. Bado walio wengi wanfikiri juu ya kutwaliwa na kabila moja tuu muda wote na wanafikiri kuwa watu wengine ni watawaliwa tu muda wote.

Hii ni mbaya sana kwa nchi. Na hii ndiyo iliyoipelekea Rwanda kuingoa kwenye vita ile mbaya sana ambayo leo imekuwa ni historia isiyo sahaulika.

Wakenya igeni mfano wa Tanzania. Mwanasiasa anaposimama kutaka kugombea uongozi hatazami kabisa kabila lake bali hutazama kwanza kama atapendwa kiasi gani na wale wanachsma wa chama pinzani na kisha ndipo aangalie atspendwa vipi na wana chama wa chama chake.

Hata hivyo nawatakia uchaguxi mwema usio na majuto na aibu. God bleasse Kenya.

Kwa kweli hapo kwenye red vyama ndio tatizo tz, kama vile ukabila inaila kenya kindani basi kumakinika kwa vyama TZ ndio tatizo. Nimeisoma hali ya TZ na watz makini nikagundua wale wamesalia tu kusema ukabila kenya hawapendi wala hawatakutajia mabadiliko kwao nyumbani! tuige nini kutoka tz? vyama?! au amani?? wakati kundi la uamsho kutoka uzenji wanapoingiwa na ibilisi kuleta vurughu, vyama huingilia wapi au huzuia nini? Kwa kweli TZ tuna wanafiki?! Ni sawa na mchochole kujaribu kuficha ufukara jambo ambalo haliwezekani! sijui hii akili ya mwafrika ilitoka wapi but it is a very queer one!

Nauliza tu swali moja je! tanzania hivi sasa kuna marekebisho/reforms yeyote ambazo imetekelezwa na wanasiasa? iwe ni marekebisho ya korti hebu tutajie hata moja. tunauliza reforms kwenye institutions.

Jingine ni hii katiba ya Kenya imekubalika na wengi watz ikiwemo wanasheria, ina maana wanaitambua kuwa bora. huku mukiimba ukabila na mengine ni hatua gani kama watz mumechukua ambacho tunaweza iga kama maendeleo.
 
Sidhani hilo ataliweza...Umaarufu wake unapungua kwa kasi!
 
Kabaridi.

Kwa TZ watu hawasemi huyu ni mtu wetu bali husema huyu ni wa chama chetu tofauti na Kenya. Tunapiga kura tunaangalia chama kina wanachama wangapi ambao wamejiandikisha kupiga kura na siyo kabila lina wapiga kura wangapi waliojiandikisha.

Kama ni mambo ya machafuko kutokea huwa ni mbegu mbaya toka nje ya nchi kama vile ugaidi nk.

Mungu saidia Kenya.
 
Back
Top Bottom